Search results

  1. Malick M. Malick

    Uchaguzi 2020 Oktoba 28 ni Dkt. Magufuli tu ndio chaguo la Watanzania

    Hakuna kama JPM ,Magu TENA ,miaka mitano ya Maendeleo
  2. Malick M. Malick

    Uchaguzi 2020 Lissu asiachwe aeneze uchochezi huu

    Kumbe anajua ashindi ,amejiandaa na safari ya kurudi kama mtu wa kawaida , kwenda kuchunguzwa
  3. Malick M. Malick

    Uchaguzi 2020 Oktoba 28 ni Dkt. Magufuli tu ndio chaguo la Watanzania

    October 28 ,2020 Watanzania twendeni tukamsimike Dkt. Magufuli Kwa ushindi wa kishindo ,miaka mitano mingine ya kazi, Afrika inajua ,Dunia inajua kazi ya Mtoto wa Afrika kutoka Chato ,mwana Mageuzi ya kweli. Tunajua nchi za Magharibi hawapendi Juhudi za mwamba JPM kuipeleka nchi katika...
  4. Malick M. Malick

    Uchaguzi 2020 Rais Magufuli apite bila kupingwa

    Twendeni Kwa hoja hakuna mgombea anaefikia quality za JPM
  5. Malick M. Malick

    Uchaguzi 2020 Rais Magufuli apite bila kupingwa

    Ukweli wa Mambo Magufuli anashinda Kwa kishindo ..itoshe kusema kwamba Hana Mpinzani Kwa Tanzania,Afrika na Dunia Uwezo wake wa kufanya kazi kila mmoja anaujua jinsi alivyo mtekelezaji kuliko maneno watanzania wanavutiwa nae WATANZANIA, BILA KUJALI VYAMA VYETU MAGUFULI TUMUACHE APITE BILA...
  6. Malick M. Malick

    Uchaguzi 2020 CHADEMA: Orodha ya pili ya wateuliwa ubunge

    Chadema wanataka kunogesha tu
  7. Malick M. Malick

    Uchaguzi 2020 Jimbo la Ruangwa tumuache Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa apite bila kupingwa

    Wana Lindi wenzangu habari Leo nimependa niwakumbushe wakati tunaenda katika uchaguzi mkuu , Nina waomba Wana Lindi bila kujali ITIKADI, Jimbo la Ruangwa tumuache waziri mkuu ,mhe KASIMU MAJALIWA apite bila kupingwa ,ni heshima Kwa mikoa yetu ya kusini, Sisi sio wa Kwanza kufanya hivyoo Mikoa...
  8. Malick M. Malick

    Rais Magufuli hajawahi kuwa na Mpinzani

    Ukweli usemwe tu. Kiutendaji, uwezo binafsi, ubunifu, uchapakazi, uzalendo ni vitu vinavyomuuza Rais Magufuli tokea awe mwanasiasa -- mbunge, waziri na sasa ni Rais Rais Magufuli hajawai kuwa na mshindani katika kariba yake katika mambo hayo. Akiwa waziri katika wizara mbalimbali uwezo wake...
  9. Malick M. Malick

    Mkoa wa Lindi tunasimama na Rais Magufuli, iwe jua au mvua

    KUMPINGA RAIS JPM NI KUWAKUMBUSHA WATANZANIA MATESO WALIYOPITIA, VITA DHIDI YA UTAWALA WA MAGUFULI NI VITA DHIDI YA MATUMAINI MAPYA YA WATANZANIA.
  10. Malick M. Malick

    Mkoa wa Lindi tunasimama na Rais Magufuli, iwe jua au mvua

    Waliozani JPM ni nguvu ya soda ,wataendelea kupoteana ,chuma kinapiga kazi
  11. Malick M. Malick

    Mkoa wa Lindi tunasimama na Rais Magufuli, iwe jua au mvua

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI MKOA WA LINDI TUPO PAMOJA NA RAIS MAGUFULI Kwa niaba ya wananchi wa mkoa wa Lindi,Tunampongeza sana Mhe Rais kwa kazi kubwa ,na yenye kasi sana katika kuleta maendeleo wananchi wa Tanzania,mambo yaliyofanyika chini ya Rais Magufuli ,ndani ya miaka inayokaribia...
  12. Malick M. Malick

    Chupa moja ya Cocacola ina vijiko 10 vya sukari

    Profesa Janabi yule Dr wa taasis ya Moyo JK pale Muhimbili anasema bora kunywa soda kuliko juice ya kutengeneza
  13. Malick M. Malick

    Mashuka mazuri ya cotton

    Bei imechangamka Sana
  14. Malick M. Malick

    Wakurugenzi na dhana ya usimamizi wa uchaguzi mkuu

    Imekatwa rufaa ,je rufaa ya mwanasheria Mkuu ikikubaliwa inakuaje itabidi na nyingi mkubali kutekeleza sheria iliopo
Back
Top Bottom