Search results

  1. F

    Chuo cha CDTTI Missungwi

    Je ni kweli kuwa Chuo cha Maendeleo ya Jamii Missungwi kinatoa course za mambo ya uhandisi wa ujenzi? Kama ni kweli tupia maoni yako jinsi unavyokifahamu itakuwa msaada sana kwangu.
  2. F

    Ada ya chuo cha maabara singida ni tsh ngapi?

    Wana jf naomba kufahamu ada ya chuo cha maabara singida ni bei gani?kwa wanaoingia private..na wanafanya interview lini ya kujiunga na chuo hicho,gharama zote pamoja na hostel na chakula ..au nimechelewa?
  3. F

    Naweza kupata nafasi ya kujiunga na kozi ya clinical assistant, nursing au medical laboratory techni

    wana jf nimemaliza fom 4 2008 na kupata div 4 ya 30..chemistry-C,Biology-D,Physics-F, Math-D na english-F,KWA UFAULU WANGU HUO NAWEZA KUPATA NAFASI YA KUJIUNGA NA KOZI YA CLINICAL ASSISTANT, NURSING AU MEDICAL LABORATORY TECHNICIAN?...NAOMBA MSAADA WENU NA USHAURI NIFANYAJE ?NA VYUO VINAVYOTOA...
Back
Top Bottom