Search results

  1. Jachi James

    2G into 3G

    Naombeni kufahamu juu ya ili kuna simu inauwezo wa 2g je kuna uwezokano wa kuibadirisha iwe kwenye 3g na kama kunauwezakano naomba msaada jinsi ya kufanya hvyo.
  2. Jachi James

    Naombeni msaada kwa wanaojua

    Window 8 inaweza kuwekwa kwenye computer yenye RAM ya 1GB ???
  3. Jachi James

    Naombeni msaada kwa wanaojua

    Window 8 inaweza kuwekwa kwenye computer yenye RAM ya 1GB
  4. Jachi James

    Msaada tecno n3

    Wana jf nisaidie wap natapata betri OG ya tecno n3 kwa hapa dar
  5. Jachi James

    password za kuingia kwenye setup zimesahulika

    Masada wakubwa kuna pc imesahaulika password zake za kwnda kwenye setup kama kuna yeyote anaejua jinsi ya kuchakachua au kuziondoa naomba msaada wake na naomba kujua cmos better inatunza password ipi naomben msaada wenu
  6. Jachi James

    plz wazoefu wa na watumiaji wa huawei ideos u8150 naomben msaada wenu

    simu yangu imepoteza OS baada ya kuroot cmu yng nikareset ambapo kawaida yake uwainafuta program zote ambazo ulizidownload bt this time imefuta vitu vyote including OS inawaka bt hainipeleki kwenye launch iliyokuja na simu yan inaishia kuwaka tu na kuniletea white screen na neno ideos only plz...
Back
Top Bottom