Search results

  1. More Tiz

    NAPE na Kinana hamjajua dhamira ya wananchi kujaa katika mikutano yenu au mnazuga!!!

    Naleta uzi jukwaani baada ya kuona uzi wa MwanaDiwani jana (https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=784297) ukieleza jinsi umatu wa wanabumbuli huko Tanga walivyojitokeza katika mkutano. Nimpongeze Nape na Kinana kwa ziara nzuri zinazoitwa za kujenga chama vijijini ( Japo mimi naamini ni za...
  2. More Tiz

    Aliyokuwa akifanya Nape katika ziara ya kujenga chama

    Picha chache zimeambatanishwa kuonyesha uhalisia. Ni vyema ndugu Nape na Kinana mkipanga ziara zenu tena jaribuni kubadili mbinu. 1. Acheni kufuata misosi vijijini 2. Acheni kwenda kujifunza kazi za mikono (Kukamua, kujenga etc) 3. Kupendezesha wahudhuriaji kwa sare za chama. Usisahau kudhibiti...
  3. More Tiz

    CHADEMA shinda uchaguzi kwa mbinu hii

    Mwaka 2004 uchaguzi wa serukali za mitaa katika kata ya Vingunguti CUF ilishinda kwa kutimia mbini hii. 1. Tulihamasishana vijana, yaani kila kijana alihakikisha ana vijana wenzie watano atakaowashawishi na kuhakikisha wanapiga kura. 2. Kulinda kura mpaka matokeo yangazwe. Nakumbuka tulikaa...
  4. More Tiz

    Wananchi wachangishwa fedha ziara ya JK

    WANANCHI wa Wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera wamechangishwa fedha kwa ajili ya mapokezi ya Rais Jakaya Kikwete ambaye yuko ziarani mkoani humo. Kwa mujibu wa chanzo chetu cha habari, kilichoko mkoani Kagera kimesema kuwa wakazi wa vijiji vyote vinavyounda Wilaya hiyo wamelazimishwa kuchangia...
  5. More Tiz

    Wazo la kudhibiti biashara ya mihadarati - madawa ya kulevya

    Wana JF Kumekuwa na taarifa zilizoshamiri hapa jamvini juu ya watanzania wenzetu wakiendelea kukamatwa kwa kushiriki katika biashara haramu ya Mihadarati (Madawa ya kulevya) katika pembe mbali mbali za dunia hii. Tukitafakari kiundani, Uhalifu wa aina hiyo unaoendelea hauwachafui wao pekee...
  6. More Tiz

    MaendeleoTanzania ni ndoto

    Chama cha utawala kiko makini kuwaletea wananchi maendeleo.
  7. More Tiz

    Moja ya siri za wabunge kung'ang'ania madaraka

    WABUNGE WETU HEBU TUONYESHENI MOYO WA UZALENDO. NAIBU Spika wa Bunge, Job Ndugai jana aliwachochea wabunge wadai pensheni zao kama wanavyofanya wabunge wenzao wa Kenya na Uganda. Ndugai alitoa kauli hiyo jana wakati wa semina kwa wabunge iliyoandaliwa na Mamlaka ya Usimamizi na...
  8. More Tiz

    Memorandum of understanding kwa viongozi wetu - CHADEMA, CCM na CUF

    VIONGOZI WETU AMANI ZILISHINDIKANA KUPATIKANA KWA NGUVU ZA DOLA BALI ZILIPATIKANA KWA KUKAA MEZANI. Tangu mwaka huu uanze, wananchi wa Tanzania tumeshuhudia matukio kadhaa ambayo katika macho ya wengi na dhamira ya Taifa kama Tanzania ambalo kwa sasa lina nusu karne likisifika kwa Amani na...
  9. More Tiz

    Bendera ya uhuru wapi wanaipeleka wanasiasa

    NINI MAANA YA BENDERA YETU KUPEPEA? Mnamo mwaka 1961 Tanzania ilibahatika kupeperusha bendera yake mpya ikiimanisha kupata uhuru tena kwa heshima na taadhima kutoka kwa watu ambao tuliamini ni wanyonyaji na hawakupaswa kutuongoza. Hata hivyo bendera yetu imeendelea kupepea vizuri, tena kwa...
  10. More Tiz

    CHADEMA: Mbunge Suzana nusura Atekwe Kilombero

    ZIARA YA SUZANA KIWANGA WILAYA YA KILOMBERO MBUNGE Viti Maalumu, Susan Kiwanga (CHADEMA), na ujumbe wa benki ya NMB Kanda ya Mashariki, wamenusurika kuvamiwa na watu wanne wanaosadikiwa kuwa majambazi katika kijiji cha Mbingu wilayani hapa. Kunusurika huko kulikotokana na wasamaria...
  11. More Tiz

    Chadema wafichua mtandao wa ugaidi

    CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetaja majina ya baadhi ya watu mbalimbali wakiwemo viongozi wa serikali na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kikidai kuwa ndio wanaopanga mipango ya kishetani na kisha kuwasingizia watu wengine. Hatua hiyo inakuja huku Mkurugenzi wa Ulinzi na...
Back
Top Bottom