Jamani naomba mwenye kujua ada ya post graduate diploma ya education na if usajili umeanza na kozi zinazosomwa kwa mtu Wa BA Economics .Ni kwa Open University of Tanzania plzz
Ndugu zangu naomba mwenye kujua anisaidie kuhusu ada ya post graduate diploma ya education Open na kama wameanza udahili pia na courses za kusoma kwa mtu Wa BA Economics.
Waungwana majibu haya yatasababisha ugomvi: Ilikua jmos niko pande za majengo moshi napata Noah ugali bhana meza ya karibu jamaa naye WA gereji ya karibu na maeneo hayo alikua anapata kitimoto( Noah) choma na ugali; jamaa akamsabahi vipi bwana naona unapiga ugali hapo majibu aliyopewa saaa...
ungesema tukuunge mkono kwenda wizarani kumng' oa magembe ningekuelewa tatizo ni serkali c mnyika nunua uhai kubwa uogee had akili za kuondoa serikal hii ya majambazi uipate
muhongo mhuni Jana ametangaza project kibao fedha za ndani ni 5% anategemea misaada I top up kwenye salio huku bil 200 wamekwiba yaan daaah ni shidaaaaaaaaaaaaaaaaaaaasss
Hivi inawezekana kweli taasisi itangaze kazi kwa mshahara huu tena bank kubwa jamani hivi ni makusudi au ni dharau. Naomba mnisaidie watu wa sales ndo mishahara yenu hiyooo
ccm ni ya kichifu mbona wengi wao wana majina tuliyoyazoeaaaa nnauye le mutuz makamba riz salma nchimbi kigoda mwinyi mkapa angalia wakuu wa mikoa na wilaya gama kwa mfano daaaaah cc kina ngaseku tutasubiria sanaaaaaa
tulijua tuuuu hamna ubavu wa kuwawajibisha na je haya yote yakiendelea mtawaambiaje watanzania porojo tuuuu ccm hamna utekelezaji huku kwetu kwa maghembe ndo umeme ni masaa 6 kwa siku tena usiku maji ndo ya kusearch kwa password bado mnaitana kupeana posho ovyooooo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.