Nakusihi sana usisahau kusoma research na kuielewa. Mwaka fulani katika usaili wa mchujo wa kada hiyo tulipewa maswali ya research tu. Wale ambao tulipitia research kwa juu juu, tulipata tabu sana.
Bila shaka kitabu hiki kitakufaa
Tena hao wasafi FM ndo wanakera mno siku hizi, kiasi kwamba hata sports arena imepoteza mvuto, wanatumia muda mwingi kuchambua chota mihela badala ya mpira, wachambuzi wamegeuka mapromota wa kamari.
Hiyo iko wazi, nenda UD kijana ila jipange kukomaa sana maana pale hakuna masihara na shule. Usidanganywe na watu eti ooh pale magumashi ooh kilienda kikarudi, ni wivu wao wa kik.e tu.
Cha msingi uwe na hata cha form four maana kina picha yako pia. Results slip ya form six pia, kama alivyosema mdau. Mimi binafsi nilitumia result slip ya f6.
Registration number ipo kwenye admission letter ambayo utapewa ukiripoti hiyo tar 8. Andaa chochote kati ya result slip ya f6, certificate ya f4 au cheti chochote cha kukutambulisha. Mambo yapo systematically usiwe na wasi ndugu.
Kwanza, nikupongeze kwa dhati kabisa kwa kuchaguliwa. Civil engineering ni kozi nzuri sana kwa ujumla kwani itakupa ujuzi wa kiuhalisia na sio mambo ya dhahania. Utadesign structure na utaona uhalisia wake ikisimama. Civil engineering inajumuisha sub-courses tatu ambazo ni Irrigation...
Jamaa hana mchezo kwenye kazi. Nasikia pia ni complicator, mtakutana na mitihani yake mirefu kama report ya CAG. Ila usiogope, kapige msuli sana utatoboa. Mechanical ni kozi nzuri sana japo ni ngumu vile vile. Cha msingi sasa focus kwenye kupiga msuli, kuelewa vitu na kuwa nondo, mengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.