Uhuru na matumizi ya vyombo vya habari kamwe hauwezi kuwekwa mikononi mwa wapuuzi wachache wanaotumia kigezo cha "CHOMBO BINAFSI" kukandamiza mtu aliyokinyume na matakwa yao
There's a big difference between RIGHT & JUSTICE, so those kids will be having the RIGHT to inherent but unfortunately it can't be JUSTIFIED due to some technicalities!
Actually based on the nowadays life style we really need to revisit and amend some stuffs in the whole thing concerning...
Jamani mie mniruhusu tu nilalamike, maana nimejitahidi weeeeee nikanunua kijitiv changu cha inchi 17 tena bendi moja, kununua hicho kisumbusi sawa huenda nikajitahidi nikafanikiwa, lakini jamani hii ya kila mwezi na maisha yangu ya chumba cha 30,000 huku uswazi kinanitoa jasho si mnataka...
kwa namna moja ama nyingine sheria hizi zinamuingiliano mkubwa hasa kutokana na ukweli kuwa Data Protection ni moja ya Privacy na nia ya swali ilikuwa ni hiyo na kama ambavyo tumeona majibu kutoka kwa wachangiaji, ila pia si vibaya kama kuna mwenye mchango juu ya jambo hili kwa kuwa mie binafsi...
Asante kwa mchango wako ndugu, lakini kwa bahati mbaya sifanyi assignment NA pia ni heshima zaidi kutoa mchango bila dharau kwani si lazma anayeuliza kuwa mwanafunzi, act like a lawyer ndugu!
Thx guys, nitachek NA hao waungwana
Do we have a data privacy Act or any other laws dealing with Data Protection in Tanzania?
If "YES" please i would love to get a copy and if "NO" then how do we deal with Data Privacy issue in Tanzania?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.