Search results

  1. M

    CUF Zanzibar: Matembezi ya Timu mshindi kutoka Darajani - Mnazi Mmoja

    Maandamano pamoja na mkutano, "Uzinduzi Timu ya Ushindi Uchaguzi 2015". Habari za maandamano haya na mkutano huu zilitangazwa siku moja tu (Ijumaa 20-02) baada ya polisi kuwekea mizengwe kutoa kibali.
  2. M

    Funua Kawa Mwana Halali Asimame! - Mwanamapinduzi HAMID AMEIR

    Funua Kawa Mwana Halali Asimame! Okt. 24/14 Na Salim Said Salim Watu husema ukiyajuwa ya wenzako basi elewa wapo wanayoyajua yako kama au zaidi unavyojuwa mwenyewe. Hali hii ya ulimwengu ndiyo iliopelekea Wahenga kusema: "Funika kombe mwanaharamu apite". Lakini, zama hubadilika na ndio...
  3. M

    Kura ya maoni kuh. Muungano inakuja zanzibar!

    WAKATI SASA UMEFIKA, MABADILIKO YA 10 YA KATIBA YA ZANZIBAR KUTOA SULUHISHO Wakati wa kuyalinda matashi ya wazanzibari walio wengi ya kudai mamlaka kamili umefika. Kinyume na ambavyo waznzbar walitarajia ktk mchakato wa kutafuta katiba mpya, imebainika kuwa Tanganyika inajipanga...
  4. M

    Sehemu ya hotuba ya Maalim Seif

    KAMATI YA MARIDHIANO SIX CUF 26 MARCH 2014 SERIKALI MBILI HAZIVUMILIKI PART 3/5 - YouTube
  5. M

    Sasa Wazanzibar ni wa Mkataba tu ama Ujirani mwema. Hatutaki tatu!

    WANAMWAGA UBWABWA! TUNAMWAGA MCHUZI! * Sasa wazanzibari tunarudi katika dai la asili, Muungano wa Mkataba. * Hakuna alietaka serikali 3 Zanzibar. * Asilimia 66 walitaka Muungano wa Mkataba (treaty based Union) kama ule wa Umoja wa Ulaya (European Union), na asilimia 34 walitaka tubaki...
  6. M

    Hotuba ya Judge Warioba Bunge la Katiba p1

    KAMATI YA MARIDHIANO SIX:WARIOBA AWASILISHA RASIMU 18 MARCH 2014 PART 1/5 - YouTube
  7. M

    Muscat Tower in Dar es Salaam & JKIA facelift

    Omanis unveil major JNIA facelift plan Dar es Salaam. The Julius Nyerere International Airport (JNIA) in will undergo a major rehabilitation following the injection of $100 million by an investor from Oman.The project, expected to start in eight months, will be undertaken by Al-Hayat...
  8. M

    Pale Prof. Shivji anapogongana na Ahmed Rajab

    PROFESA Issa Shivji na mimi tumetoka mbali. Kwangu, yeye ni kama ndugu. Sote ni waumini wa falsafa ya umajumui wa Kiafrika na tunaitetea kwa nguvu hoja ya umuhimu wa kuungana kwa bara la Afrika. Isitoshe sote tunaamini kwamba tunapoichambua jamii tunapaswa tuichambue kitabaka kwani kwa...
  9. M

    Ahsante Mh. JUSSA!! wewe ndie kiongozi wetu wa ukweli !!

    Ismail Jussa about an hour ago Very interesting leo Mhe. Omar Yussuf Mzee alipokuwa akifanya majumuisho ya mjadala wa bajeti ya SMZ (wind-up of the budget speech) aliamua kuzinyamazia kimya na hakujibu kabisa hoja nilizozitoa jana kuhusu wizi wa mchana kweupe wanaotufany...ia Tanganyika...
  10. M

    Mwelekeo wa Muungano - Tume ya maoni

    MAPENDEKEZO YA KAMATI YA MARIDHIANO ZANZIBAR KUHUSU UPI UWE MWELEKEO WA WAZANZIBARI KATIKA KUIJADILI RASIMU YA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA ITAKAYOTOLEWA NA TUME YA MABADILIKO YA KATIBA UTANGULIZI: Baada ya wananchi wa Zanzibar kutoa maoni yao juu ya vipi Muungano wa Zanzibar na...
  11. M

    Ijue Historia ya muasisi wa TANU, Ally Kleist Sykes (1926 - 2013)

    Mzalendo Muasisi wa TANU aliyemwandikia na Kumkabidhi Julius Nyerere Kadi ya TANU Na. 1 Ally Kleist Sykes and Mohamed Said At Mr Sykes Office, Mkwepu Street, Dar es Salaam Historia ina kawaida ya kujirudia. Ally Sykes mmoja wa waasisi wa TANU, mmoja wa wale watu wasiozidi takriban saba...
  12. M

    Majibu ya makala ya Lula wa Ndali Mwnzela ya "Kila la kheri Zanzibar, bye bye Muungano"

    Kwa kawaida Lula wa Ndali Mwananzela ni mwandishi mahiri sana na ingawa yeye ni Mtanganyika, makala zake nyingi zinazozungumzia Zanzibar huwa zinaelezea ukweli wa taarikh kwa ujuzi na mantiki na aghlabu bila kupempendelea yeyote hata kuwashinda waandishi wengi wa Kizanzibari. Kwa hili...
  13. M

    Maoni ya kiongozi wa juu wa CCM Zanzibar kuh: Katiba mpya !!

    "Kila nikiyaangalia haya maoni kwa kweli sioni tofauti yake na tunachokipigania sisi wana UAMSHO!! hapa nasema alhamdulillah! je upo umuhimu wa muungano wa tanganyika na zanzibar hapo?, si na tujiunge tu na east african community? ndio pale tunaposema "TUACHIWEE TUPUMUEEE !!, maoni haya yanatoka...
  14. M

    UAMSHO na Mh Dr SHEIN

  15. M

    How our heritage is sold out -This is interesting

    The Betrayal How our heritage is sold out By Mark Seidenberg Vice Chairman of the American Independent Party" In 1949 Barack Obama II's grandfather was convicted of being a Mau Mau in violation of section 64 of the Kenya Penal Code. He got out of prison in 1951, because he was not as...
  16. M

    Hotuba ya kambi ya upinzani -- muungano

    HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI YA UPINZANI BUNGENI, MHE. RIZIKI OMAR JUMA (MB), KUHUSU MAKADIRIO NA MATUMIZI YA OFISI YA MAKAMU WA RAIS MAMBO YA MUUNGANO KWA MWAKA WA FEDHA 2009/2010 1. UTANGULIZI Mheshimiwa Spika, Kwa idhini yako napenda kutoa maoni ya Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni...
  17. M

    Norway Consulate in Zanzibar

    Norwegian government opens consulate in Zanzibar today By Guardian Reporter 11th June 2009 The government of the Kingdom of Norway will today open a consulate in Zanzibar. A statement issued yesterday by the Royal Norwegian Embassy in Dar es Salaam said the opening ceremony of the...
  18. M

    Zanzibar's academicians form NGO

    Zanzibar’s academicians form NGO Issa Yussuf in Zanzibar, Zanzibar’s academicians living abroad and home have formed a research NGO dubbed “Zanzibar Institute for Research and Public Policy (ZIRPP),that will function as a think-tank, research and policy based institute. Addressing a...
Back
Top Bottom