Search results

  1. M

    Album ya Lilian Wasira Yasisimua Wengi

    Jana pale Landmark Mh Mbowe alizindua album ya nyimbo zilizotungwa na kuimbwa na Lilian Wsira yenye nyimbo sita. Nyimbo hizo zinahamasisha Watanzania wajiunge na harakati za ukombozi, kwamba CCM muda wake wa kuaga umefika, akina mama waamke sasa wakomboe taifa nk. Nilinunua album yangu na kwa...
  2. M

    Ya Viongozi wa Chadema na Kamati kuu, CDM ijipange?

    Jaribu ku argue sio ku shout. Jamani wana JF tukitaka tuelimishane tujenge hoja si kutumia hasira. Hilo la kanisa tumeandika sana. Kwamba kanisa haliwatengi wakristo kwa kushabikia ccm ila kwa kushabikia kumkufuru Mwenyezi Mungu. Huyo mgombea wa ccm Rukwa alisema yeye ni Yesu, mgombea urais ni...
  3. M

    Chadema na uchaga

    Unazungumzia migogoro gani? Hakuna chama ambacho watu hawakinzani. Nenda marekani Democrats wanamsakama Obama kwa kukubali kuingia makubaliano na Republicans. je ni mgogoro? Hao madiwani waliojiuzulu Mara si mgogoro wa CCM? Fikiria plz usiwe kama Babu yangu wa kijijini kusema umepoteza kura
  4. M

    Chadema na uchaga

    Tathmini yako sikubaliani nayo. Kama unaifahamu historia, mwaka 1995 maeneo mengi ambayo yamewachagua chadema waliipigia NCCR-Mageuzi. Unataka kuniambia 1995 ccm ilikuwa na mpasuko? Mimi nadhani maeneo haya ni yale yenye uelewa kwa demokrasia. Je, Kigoma kuna mpasuko sana kuliko mikoa mingine?
  5. M

    Chadema na uchaga

    Pamoja na nia yako mbaya ya kuleta hoja kama hii ila kwa maoni yangu wewe ni mchemkaji kuliko MS. Sijui una elimu gani ila hoja zako nyepesi mno. Unamzungumzia Mbowe kwa vile Chadema ina nguvu. Mbona husemi CUF kuwa chama cha wapemba tena chama cha Kiislam?
  6. M

    Chadema na uchaga

    Fikiri kwanza kabla ya kunena. Unao ushahidi? Nani aligombea akanyimwa kwa vile si mchagga? Kwani Bob Makani alikuwa mchagga? Zitto akushauriwa asigombee kwa vile si mchagga bali kwa vile ni mchanga wa kisiasa. Fikiria kama angekuwa mwenyekitii chama kingefika wapi? Nahisi wewe ni Sunguru katibu...
  7. M

    Chadema mpo wapi?

    Nadhani humu ndani JF kuna viongozi wa chadema. Kampeni zilizopita zimeleta hamasa sana kwa wa TZ. Mimi nakaa Kinyerezi watu wanauliza kadi wapate wapi, ofisi ya chama ipo wapi? Nadhani chama kingefanya recruitment drive kwa kufungua matawi nchi nzima na kuuza kadi kabla moto huu haujaisha...
  8. M

    Elections 2010 CCM yaendelea kupimana ubavu na kanisa katoliki Sumbawanga.......

    Tatizo la wakristo ni wapole sana. Ingekuwa ni Mkristo amemkufuru Mtume ungewaka moto na angetangaziwa fatwa. Huwezi kulinganisha utatu mtakatifu na visiasa vyako.
  9. M

    Vuai Nahodha rais 2015!

    unakuwa kama huifahamu CCM? Jinsi ccm ilivyotawaliwa na rushwa huyo Migiro na Tibaijuka nani atawapitisha? kamati kuu imetawaliwa na watu wa Lowassa na ndio maana waliweza kumwondoa Sitta kwenye uspika. Mtu anayeungwa mkono na Lowassa atapitishwa kugombea nionavyo mimi na atapigwa chini na...
  10. M

    Sakata la Dowans lamuibua Nape...

    mimi namwona Nape kama kijana mzalendo. Ni kweli kama tukiamua kufanya maandamano ambayo mimi naona ni mazuri kwa ajili ya kuleta changamoto, agenda iwe kuishinikiza serikali iwachukulie hatua waliohusika katika sakata la richmopnd hadi dowans. Bunge lilipiga kelele wachukuliwe hatua serikali...
  11. M

    Kuuzwa nyumba ya sanaa; kuna siku Ikulu itauzwa pia!

    Labda husomi magazeti kujua nyumba ya sanaa imeuzwa. Swala la majungu halipo na sina muda wa majungu. Magazeti sikumbuki ya lini ila kwa mfano soma The Citizen Friday, 10 December, 2010 page 9 utakuta mchambuzi Freddy Macha alivyochambua umuhimu wa Nyumba ya Sanaa na hatari za kuhamishwa kwake...
  12. M

    Kuuzwa nyumba ya sanaa; kuna siku Ikulu itauzwa pia!

    Ndugu wana JF, Nimesikitishwa sana na habari kuwa jumba la sanaa limehamishwa ili kupisha ujenzi wa gorofa ya kigogo mmoja ambaye alishawahi kuwa waziri mkuu. Jumba hili ni la muhimu sana na lipo tangia wakati wa mwalimu. Inasikitisha kuona nchi inakwenda kishkaji kwa kufanya mambio kwa...
  13. M

    Kikwete kuwa serious japo kidogo tu...

    Kwa mtazamo wangu naona Mkapa pamoja na mapungufu yake mengi alikuwa Rais makini sana. Naona hata Mwinyi anamzidi Kikwete kwa umakini. Nadhani tatizo hajipi muda wa kutosha kusoma. Anawaachia watu wafanye kazi yeye anastarehe tu
  14. M

    Waziri Sitta: Dowans ni genge la ulaji wa vigogo watatu; tusiwalipe!

    Nimesoma gazeti la mwananchi la leo ukurasa wa kwanza kuhusu kauli ya Sita kuhusiana na hukumu ya kesi ya Dowans. Anasema hakuna haja ya kulipa hizo pesa na kwamba kuna genge ndani ya CCM ndio walichora mpango huo wapate fedha kwa ajili ya uchaguzi wa 2015. Namuunga mkono kwamba kama serikali...
  15. M

    Maoni ya wananchi: Suluhu ya msongamano wa magari jijini Dar es Salaam

    Naona wanasaidia sana hasa asubuhi na jioni. Ila ni kweli kwamba wale walio upande ambao hauna foleni wanaona kero maana wanasahaulika. Siku ambayo haina traffic hali ni mbaya sana. Suluhisho ni kupanua barabara na kujenga fly overs. Pili ni kuimarisha barabara vichochoni na pia kuruhusu...
  16. M

    Mapenziii!!!!!!

    pole dada. Labda yeye alikuwa hajapanga muoane. Mkubali mwingine tu nakushauri. Ila ukienda kutana nae umsikie anasema nini na umwombe awe mkweli
  17. M

    Maendeleo mapya: Mabadiliko ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Uzalendo

    Katika facebook yake nape anasema kama ifuatavyo:- "NAAMINI KATIBA MPYA HAIEPUKIKI,ITS A MATTER OF TIME. TUANZE KUJADILI CONTENTS ILI TUONE KAMA TUNA VITU VIPYA AMBAVYO HAVIMO KWENYE KATIBA YA SASA!" Nape ni mmoja kati ya wana CCM ambao hawaogopi kusema yaliyo ya kweli. Kama Nape angepata...
  18. M

    JK si mwanasiasa makini

    JK wakati analihutubia bunge alisema kulikuwa na udini kwenye uchaguzi na atajitahidi kutibu makovu. Waelewa tulijua kuwa CCM ilitumia udini na sasa wanataka kuacha udini baada ya uchaguzi. Cha kushangaza gazeti la Habari Leo linaendeleza udini wa hatari. Leo waneandika Zitto anachukiwa Chadema...
  19. M

    Ephraim Kibonde Jahazi Show

    Nilikuwa msikilizaji mzuri sana wa clouds FM asubuhi na jioni wakati wa kwenda na kurudi kazini. Awali ilikuwa ni radio yenye kuzungumzia mambo makubwa ya kisiasa na very critical. Ila karibia uchaguzi Kibonde akabadilika akaanza kuzungumzia mambo ya kijinga na ya kuudhi. Niliacha kusikiliza...
Back
Top Bottom