Search results

  1. K

    Maajabu: Hospitali ya Kilosa yafungiwa mita ya LUKU

    kwani hapo tatizo liko wapi kufungiwa mita ya luku
  2. K

    Huyu ni nani na alifuata nini Ikulu?

    ipo kazi mwaka huu
  3. K

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    nisaidieni nina gari yangu aina ya suzuki aerio kwenye dip stick ya transmission imeandikwa nitumie ATF3317 or equivalent oil ntakujuaje hiyo equivalent oil maana ATF3317 uku haipatikani msaada jamani maana kila oil ninayotumia inasumbua kubadili gear
  4. K

    Taarifa ya Zitto Kabwe kuhusu Gazeti la Taifa Imara

    alikuwa wapi mda wote huu hadi akanushe leo zito simwamini tena kuanzisha chama kingine ukiwa ndani ya chama kingine ujinga tosha huo
  5. K

    CHADEMA yashinda kwa kishindo uchaguzi wa marudio geita

    chadema viva geita
  6. K

    Yaliyojiri, Matokeo ya maeneo yaliyorudia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa tarehe 21 Disemba, 2014

    uhakika wametangaza geita tumeshinda chadema mitaa ya mseto na katoma
  7. K

    B/News: Wananchi Kitoma wakataa kuchaguliwa M/kijiji

    nami nipo hapa ccm kwisha
  8. K

    Rais Kikwete aahirisha kuongea na 'Wazee wa Dar'; sasa kuongea nao Jumatatu wiki ijayo

    Aise kama ulikuwepo akiisoma hii atashangaa
  9. K

    World Bank nao wasitisha misaada kwa Tanzania

    tujitegemee wakati mnaiba
  10. K

    Pinda akubali kujiuzulu jioni hii

    aise nina machungu mimi
  11. K

    Mama Kilango ni mzima wa afya.

    duu mi napita
  12. K

    Kumbukumbu ya kuzama kwa MV Bukoba tarehe 21 May, 1996

    aise walioitoboa walisha kufa akiwemo yule welder
  13. K

    Serikali yaridhia umeme kupanda Kuanzia January 2014!

    kwa hiyo serikali haioni inawatesa watu wa hali ya chini?
  14. K

    Ccm mbona swala la ponda hamliongelei wakati amewatuhumu mambo fulani tunataka majibu yenu

    ningetamani sana kumsikia wasira akiongea kitu kuhusu haya mambo maana kuna viongozi fulani wa dini walifanya mambo sivyo alijibu mbona kwa hili yu kimya?
  15. K

    Ccm mbona swala la ponda hamliongelei wakati amewatuhumu mambo fulani tunataka majibu yenu

    Ccm si mmemlea ponda subiri yatakayo watokea
  16. K

    Mimi kupigana na Msigwa ni kutafuta kesi ya mauaji. sijashkana naye shati na sitaraji

    watu sasa hivi hatulali makanisani tunasali sana mungu akupe adhabu
Back
Top Bottom