Search results

  1. appoh

    Nauza line ya airtel money elfu 50,000

    Line iko safi haina shida unaweza kuja ofisin kwangu kuitest nipp ukonga dsm haina shida yoyote nakuunganisha na wakala mkuu nimenunua kutoka airtel makao makui nakuunganisha na wafanyakaz walioniuzia hata ikipotea unatengenezea nyingine mawasiliano 0692470336
  2. appoh

    Mtu chake nauza godoro langu elfu 80 nimenunua laki na 30 nimelalia mwezi tu

    Nipo dar gongo lamboto 0659223005 ft tano kwa sita halina jina sio dodoma wala comfy
  3. appoh

    Thamani ya Samata yapaa

    kiwango cha ally samatta mbwana kimepaa kutoka pound laki nane mpaka pound milion moja na laki sita samata anaonesha kiwango kikubwa tofaut na mpinzani wake ukiangalia safar ya samata hii ni mara ya kwanza lakin mpinzan wake yupo ulaya tangu 2007 katika timu yake ya kwanza msimu uliopita...
  4. appoh

    Laptop inauzwa laki mbili na nusu

    ina disc gb 200 ram 2gb dell 0715825530 nipo dar
  5. appoh

    Picha: Jana nimekutana na jini kwa mara ya kwanza

    Nilikuwa natoka kwenye sherehe saa nane usiku daaaah nguvu ziliiniisha sema nilijikaza.
  6. appoh

    Wahaya sio vizuri Mungu anawaona.....

    MAMBO YA WANASHERIA: Baada ya kumaliza Degree yake ya Sheria, Bwana Rwegashora aliamua kurudi nyumbani Bukoba mjini na kufung ua ofisi yake kwa ajili ya huduma kwa wateja. Siku moja akiwa ndani ya ofisi yake, alimwona dada mmoja mtanashati na mrembo anakuja ofisini kwake akajua ni mteja...
  7. appoh

    brenda inauzwa elfu 35 nikikuletea ulipo elfu 30 ukiifuata na risiti unapewa

    brenda mpya nimetumia siku moja tu sababu ya kuuza ni maneno maneno ya wapangaj kua niongeze hela ya umeme sababu nimeongezea brenda namba yangu 0657656697nipo dar es salaam banana ukonga.
  8. appoh

    Mzazi kaitwa shule kwenye kesi ya mtoto wake

    MTOTO: baba unaitwa shule. BABA: kuna nini? MTOTO: Sijui ww twende. BABA: haya hebu twende MWALIM: karibu mzee mwanao tumemuuliza Kampala iko wapi kashindwa kujibu BABA:kamgeukia mwanae akamzaba kibao kwa hasira na kumwambia ww nilikukataza kuchezea vitu vya watu haya KAMPALA ya mwalimu...
  9. appoh

    mkenya anapokuelekeza njia

  10. appoh

    Beyonce kaanzisha kanisa lake?

    Umewahi kusikia kuhusu kanisa jipya linanoitwa 'The national church of Bey'? Msanii Beyonce knowles wa Marekani ameacha maswali mengi baada ya kuanzisha kanisa lake na kuliita "The national church of Bey" means church of Beyonce. Ambapo yeye ndio Mungu wa kanisa hilo na maelfu ya watu...
  11. appoh

    Hahaaaa Manchester United

    Man United imefungwa na team ambayo jina lake utadhani SMS inajiandika yenyewe wakati simu iko mfukoni huna habari nayo na umesahau kuilock #FCMidtjylland
  12. appoh

    Ukweli kuhusu app ya Smart Tz

    wanajf kuna upepo wa application inayovuma kwa kas kua ina uwezo wa kuksmata mawasiliano ya mpenz wako je kuna ukweli kwa wake mlioitumia maana ukiwa katika hatua za kuipakua unaombwa pesa je kuna yoyote imemsaidia na hakuna kelele za utapel maana kuna malalamiko ya chinichin kua ni matapeli na...
  13. appoh

    bank za tanzania acheni kutudhalilisha wateja

    BANK bwana sie tunaweka mamilioni yetu tuna waamini ila wao peni yao ya sh. 100 wanaifunga kamba ina maanisha hawatuamini????? tutaiba au???
  14. appoh

    Samata tayari kwenye line up ya Genk, njia nyeupe

    striker mwenye goli nyingi ni kebano mwenye goli5 mech 25
  15. appoh

    Wanaume kupenda bikra wakati wao ni used

    Haka katabia kwa wanaume wenzangu kupenda bikra ili hali wao wenyewe washatumika si sawa imekabidhiwa haswa wa kijinsia acheni hiki kitabia msiwafanye dada zetu wakose amani Bikra kutoka ni tendo la kawaida lisilo na maana yoyote ile moyo wa mtu ndio unamaana.
  16. appoh

    Nauza baiskeli zangu 3 bei chee

    Nipo Kinondoni studio bei inapungua0712505049 ni elfu 70 kwa moja.
  17. appoh

    Nauza TENCO s3 50,000

    nip dar nicheki 0712505049
  18. appoh

    true story:wanaume sisi ni waajabu sana

    WANAUME TUNATIA AIBU SANA WAKATI MWINGINE HEBU TUJIREKEBISHE Mwanaume mmoja hapa mtaan kwetu aliwatongoza wanawake watatu tofauti na nia yake ni kufanya upembuzi yakinifu ili mmoja wao awe mkewe. Hivyo jamaa aliamua kuwapa jaribio kwa kuwapa Tsh. 500,000/= kila mmoja huku akitaka kujua ni namna...
  19. appoh

    computer monitor inauzwa bei chee

    ipo katika hali nzuri haina tatizo bei ni elfu70 maelewano yapo ni aina ya emprex lm1704 0712505049nipo banana
Back
Top Bottom