Search results

  1. E

    Diwani Kata ya Kyela Matatani Kufuatia Kuanzishwa Mamlaka ya Mji Mdogo!

    Kilitime, Inabidi kuchagua njia nyingine ya mapambano. Nitaacha kuandika JF mpaka hapo nitakapopata njia nyingine ambayo haitahatarisha kibarua changu pamoja na vibarua vya wengine. Kuandikia nje sio rahisi kwani sina muda na itakuwa gharama.
  2. E

    Diwani Kata ya Kyela Matatani Kufuatia Kuanzishwa Mamlaka ya Mji Mdogo!

    Mkuu FP, Una maana gani? Mimi sio mtaalamu wa IT ingawaje sasa naijua IT kiasi chake. Hayo mambo mengine naona unajichanganya bure. Sio wewe wa kwanza kuanza kuchanganya watu na unaweza ukaendelea. Sisi tumeambiwa hivyo na sijamtuhumu mtu yeyote wa JF. Nimesema wamedai wamepewa au huelewi...
  3. E

    Diwani Kata ya Kyela Matatani Kufuatia Kuanzishwa Mamlaka ya Mji Mdogo!

    Kilitime, Hapa mambo bado ni magumu na ni rusha ngumi na mimi nirushe. Mkurugenzi wa maendeleo wa wilaya ameandika barua ya kukanusha barua ya mwenyekiti wa halmashauri. Kwanza mwenyekiti hana power hizo na badala yake mwenye powere ni mkurugenzi na pia tafsiri yake ya sheria na hao...
  4. E

    Diwani Kata ya Kyela Matatani Kufuatia Kuanzishwa Mamlaka ya Mji Mdogo!

    Kilitime, Hapa vurugu tupu na wacha tuone mwisho wake utakuwaje. Sikuandika jana kwasababu hata mimi yamenikuta, nimechongewa kwenye uongozi wa wilaya kwamba namwandika vibaya mbunge JF. Eti mbunge amepewa IP ya computer ninayotumia na uongozi wa JF. Hiyo ni JF where we dare to speak...
  5. E

    Diwani Kata ya Kyela Matatani Kufuatia Kuanzishwa Mamlaka ya Mji Mdogo!

    Kesho kimeitishwa kikao cha kamati ya maadili ya halmashauri na wamempa Mwenyekiti mpaka kesho awe amemwaomba msamaha mheshimiwa Mahenge, vinginevyo yeye ndiye atasimamishwa wakisubiri kikao cha madiwani. Hizi siasa za fitna za Afrika ndio zinatumaliza na tutaendelea kuwa maskini. Kibaya zaidi...
  6. E

    Diwani Kata ya Kyela Matatani Kufuatia Kuanzishwa Mamlaka ya Mji Mdogo!

    Mheshimiwa mahenge ndiye aliongoza juhudi za Kyela kuwa mji mdogo. Kinachoongelewa hapa ni je sheria inafuatwa au inapindishwa kwa ajili ya vita vya kisiasa? Hivi kweli ni utawala bora kumwandikia barua kama hiyo diwani na kusambaza sehemu zote bila hata kuongea na yeye kwanza? Huu ni uongozi...
  7. E

    Diwani Kata ya Kyela Matatani Kufuatia Kuanzishwa Mamlaka ya Mji Mdogo!

    Hizi siasa za visasi Kyela ni balaa tupu. Nimefuatilia na kuongea na wahusika. Kilichotokea mbunge alikua hapa wiki jana na akamshauri huyo mtu wake kwamba aandike barua ya kumfuta Mahenge udiwani wa kata ya Kyela mjini kwasababu sasa Kyela imekuwa mji mdogo. Mwenyekiti na yeye bila kuangalia...
  8. E

    Diwani Kata ya Kyela Matatani Kufuatia Kuanzishwa Mamlaka ya Mji Mdogo!

    Wakuu, Mbona sijalisikia hili? Wacha nifuatilie nione kuna nini. Yaani Kyela kuwa mji mdogo ina maana hakutakuwa na diwani wa kata ya Kyela? Mheshimiwa Mahenge hawaelewani kabisa na Mwakyembe. Mwenyekiti wa Halmashauri ni mtu wa mbunge. Muhimu hapa kabla ya kulaumu ni kuangalia sheria...
  9. E

    Sofia Simba na Sakata la Mafisadi na Wapiganaji!

    Mama Simba aombe msamaha kwa kusema ukweli? CCM yote ni lichama la mipasho bora wapashane tu na tuwajue vizuri. Kama Malecela yuko kwenye payroll ya Jeetu, habari muhimu kama hiyo tungeliijuaje bila Sophia kuropoka? Hakuna msafi ndani ya CCM na wacha waumbuane tu. FMES, unatetea mafisadi...
  10. E

    Twaomba utupe vichaa, wale watakaotufaa!

    Mungu usitupatie vichaa watakaokuwa wanachukua posho mbili mbili kama wanavyofanya wabunge na mawaziri wetu. Usitupatie vichaa watakao kuwa wanatumia magazeti yao kuchafua wengine kama anavyofanya Mengi na Rostam
  11. E

    Moto wa posho mbili wahamia kwa mawaziri

    Na wale wanaodanganya wameenda kutibiwa Ujerumani huku wamejifungia kwenye mahekalu yao Kunduchi waki chat JF nao wachunguzwe na mamilioni waliyolipwa kwa safari na matibabu hewa warudishe. Kuna wizi wa ajabu ajabu sana Tanzania. Eti spika wa bunge tukufu anaruhusu wizi wa namna hiyo kwa...
  12. E

    Sofia Simba na Sakata la Mafisadi na Wapiganaji!

    Hivi hata mama Kilango ameamua kukaa kimya baada ya Simba kuropoka? Inaelekea hilo bomu lina ukweli maana mpambanaji naye kaamua kutengeneza suluhu? Kwa Malecela hawezi kwenda mahakamani maana huko ataumbuka zaidi. Nyerere alipomwita mhuni hakukosea kabisa. Nilitegemea mama Kilango ambaye...
  13. E

    Selelii awazima Lowassa na Rostam

    Mzee wa NATO (No Action Talking Only), sisi huku tunaita wazee wa kubwabwaja. Kazi kujaza posts JF huku hakuna kinachofanyika. Afadhali hata sisi wengine tumehamasisha CHADEMA hapa Kyela na wamepata vitongoji vitano. Kama unataka wafukia mashimo njoo huku Kyela uwasaidie, vinginevyo tegemea...
  14. E

    Selelii awazima Lowassa na Rostam

    Na wewe Ze Comedy wa JF, Banana Republic si ni kule kwenu Mwanza ambako watu wanaua Albino wakifikiri watatajirika? Badala ya muda wote unaotumia hapa JF kukandia watu wenye mawazo ya kusaidia kwao, laiti ungetumia kusaidia kuelemisha kwenu ingelikuwa heri. Lakini kama kawaida ya wababishaji...
  15. E

    Wabunge wa CCM Waomba Ushauri Kuhamia CHADEMA!

    Masanilo aka ze Comedy, Kweli nyani haoni kundule! Wapi wewe unajadili sera zaidi ya matusi tu hapa JF? Wengine tunakujua na tutakujibu jino kwa jino.
  16. E

    Selelii awazima Lowassa na Rostam

    Na wewe mpumbavu mkubwa wa JF unaona wenzako wanaenda personal wakati wewe ndio umekuwa ukimtukana Mtanzania kila anapoandika hapa JF? Search posts zako na utaona zaidi ya theluthi mbili ni matusi yako dhidi ya Mwakalinga. Eti nini? Wewe ni mwalimu chuo kikuu? labda kama Mtanzania kakosea...
Back
Top Bottom