Search results

  1. P

    Kwa anayefahamu kuhusu bachelor of biotechnology and laboratory science

    Ukisoma hii digrii ina ajira kwel kwa hapa tanzania, na ni maeneo gan unaweza kufanya kazi? Msaada tafadhari wana jf ,nawasilisha.
  2. P

    Msaada kwa wana Sua.

    Hivi jaman direct cost ni shs. Ngapi kwa sisi wa 1 year.
  3. P

    Msaada kwa anayejua kuhusu jkt

    Kwa wale form 6 tunaoripoti katika kambi tulizopangiwa je kuna maelekezo yoyote kuhusu vitu tunavyotakiwa kwenda navyo mfano nguo n.k. ? Kwa anayejua anisaidie hapo.
  4. P

    Kwa matokeo haya naweza soma medicine

    wana jf katika matokeo yangu nimepata physics-S,chem-D,Bios-D ,Bam-S, Gs-F. Je naweza soma medicine?
  5. P

    Hivi kuna tofauti gan kati ya kupenda nakutamani?

    Kwa mara ya kwanza nilipokutana na msichana fulan.MWILI wang uliishiwa nguvu ikawa hata kusema mamb tu nilishidwa .kutokana na vitu alivyojaaliwa dada yule ,sasa ikabid nijiulize mi huyu bint nimempenda au nimemtaman.embu nisaidieni hapo wana Jf.
  6. P

    Hello wana jf

    Ni vizuri kuleta hoja za msingi ili kujenga mausiano.kiuchumi ,kisiasa,hata kijamii .
Back
Top Bottom