Search results

  1. A

    Pikipiki inauzwa laki 9 cash

    Kama kichwa cha habari hapo juu pikipiki inaitwa king lion 150, nimetumia mwaka mmoja na mi ni mwalimu, kwa hiyo utumiaji ulikuwa mzuri tofauti na waendesha bodaboda, mi nilikuwa naendea kazini na kurudi tu, sasa nahama mkoa huu wa Dar es Salaam naenda Mwanza ndo maana naiuza..... Kwa...
  2. A

    Nyumba inauzwa ipo Dar es Salaam

    Kama kichwa kinavyosema NYUMBA IPO HAPA DAR SEHEMU INAITWA YOMBO KIEMBE SAMAKI, ina vyumba vinne na uwanja wa kujenga tena vyumba hata vitatu, bei milioni 16, nyumba ni ya kwangu na nimeamua kuuza niamie kwingine ambako kuna shughuli zangu za biashara. If interested tuwasiliane namba hii...
  3. A

    Kilimo cha miti

    Habar wadau nataka kununua heka tano tanga ili nipande miti ya mbao, msaada kwa mzoefu kuhusu mche bei gani, na baadae naweza kuuza bei gani na ni baada ya mda gani, na heka moja nitapanda miti mingp
  4. A

    Tablet inauzwa 330,000/=

    Nauza tablet 330000, ni mpya haina hata week ila nimepata matatizo natakiwa mkoani haraka contact 0763812605
  5. A

    Muungano usitupotezee mda

    WADAU mi nafikili ni jambo ambalo halifai kulichachalia au kuna upande una maslahi sana na muungano??? kama wazanzibar hawataki muungano na hii ni democrasia basi ipigwe kura zanzibar yote watkaoshinda wapewe kama kuvunjwa uvunjwe kungangania kitu wakati mwenyewe hataki na kusingizia eti...
  6. A

    Bajaj, bodaboda marufuku kuingia katikati ya jiji la Dar es Salaam! Waandamana ofisi za CHADEMA

    Natumaini wote mu wazima wa afya Siku mbili hizi zilizopita baadhi ya wawakilishi wa sirikali wametoa tangazo la kupiga marufuku bodaboda na bajaji kufika mjini, sasa mi ninachojiuliza ni kwamba, nini sababu kuu ya kuzuia, na pia je wanajua kuwa vijana wengi ndio wamejiari kupitia vyombo...
  7. A

    Ushauri wa kisheria

    Nilinunua pikipiki then nikampa mtu kwa mkataba wa kuniletea elfu kumi kila siku na matengenezo ni yake, ila baada ya mwaka pikipiki inakuwa yake, lakini mtu huyu anaweza kukaa siku tatu ajaleta ela na akija analeta nusu, nataka nvunje mkataba. Je sheria ipo kwangu au kwake?
  8. A

    msaada wa ushauri,

    jamani mwenzenu nataka kununua pikpik, nina milion moja na aki tano, nataka mpya, je nitapata wapi na ni aina gani?
  9. A

    Wapi wanapofundisha five na six one year?

    Kwa anaejua anielekeze, pia anitajie na ada.
  10. A

    Nataka nianze ufugaji kuku wa kisasa kuanzia mwezi wa saba, naomba kujua haya,

    Nia yangu ni kujaribu kujiinua kimaisha polepole, kwa anayejua naomba anisaidie 1) ningependa kujua bei ya kifaranga mmoja na wapi wanapatikana wazuri? 2) je ni mda gani mpaka kukua na kuuza? 3) kwa mtaji wa laki nne nianzae na wangapi? 4)nina chumba chenye madirisha mawili na kisafi...
  11. A

    Naombeni ushahuri nina laki saba nifanye biashara gani, maisha kusaidiana jamani,

    Wakuu nimesuffer sana mpaka kupata hizo ela sasa ningependa kuzifanyia kitu cha kuingizia nipeni mawazo yenu jamani.
  12. A

    Naomba jibu msemo huu,

    Mtoto akililia wembe mpe, akililia HUMMER je?
Back
Top Bottom