Search results

  1. Robert mp

    Niuzie simu hizi tecno r7 au c8

    Mwenye simu tajwa hapo juu aniuzie bajeti yangu ni 200000 napatikana kwa namba hii 0754288065
  2. Robert mp

    App ya kuchekia mechi kwenye android

    Jaman msaada mwenzenu app nzuri ya kuchekia mipira isiyo gandaganda.kwan leo tv yangu imeungua na kuna gemu za uefa.natanguliza shukran kwenu.achana na mobdro app
  3. Robert mp

    Kwa alie na unlimited ya halotel

    Jaman kwa aliye na unlimited ya halotel ya simu ya mwezi naomba anisaidie. namba yangu 0783905864
  4. Robert mp

    Qsat 23 inauzwa

    jaman mwenye kuhitaji resever tajwa hapo juu inauzwa bei ni 200000 namba 0754288065/0783905864
  5. Robert mp

    Nina laki moja nahitaji simu android

    Nahitaji sim smartphone kwa bei hiyo haraka sana aliye tayari anicheki whatsap au anicall kwa namba 0783905864 au 0754288065
  6. Robert mp

    Noskati ya colora ae110 inahitajika haraka

    nahitaji kununua noskat ya gari tajwa hapo juu.kama unayo au unajua naweza pata wapi,nisaidie.kwa mawasiliano 0783905864/0754288065
  7. Robert mp

    Strong reseiver mpg4hd inahitajika

    nataka reseiver strong mpg4hd used kwa ambaye anayo anitafute kwa namba hizi 0783905864 au 0754288065
  8. Robert mp

    Strong mpg4 4950h inahitajika

    Mwenye nayo iwe mpya au imetumika anitafute.Ila iwe ni orgnal ndio tufanye biashara. Mawasiliano 0783905864
  9. Robert mp

    Umeme umekatika wakati naweka software kwenye strong mpg4 4669xii

    Msaada wa haraka ndugu yenu strong yangu mpg4 4669xii nilikuwa naweka software mpya ghafla umeme umekatika na uriporudi naiwasha haiwaki. Naomba kwa anayejua anisaidie wana JF.
  10. Robert mp

    Nokia c5-06 inauzwa touchscreen

    Kwa anaehitaji cm tajwa hapo juu anitafute kwa namba 0783905864 au anipm.bei na lak moja.
  11. Robert mp

    Inahitajika Simu ya ANDROID kwa bei nafuu

    Naihitaji simu ya aina yeyote ile ila iwe android ya bei ndogo.0783905864
  12. Robert mp

    Inahitajika ANDROID phone

    Kwa mtu ambaye ana simu aina ya android anitafute kwani naihitaji sana.0783905864
  13. Robert mp

    Jamani nokia x2

    Wakuu naomba msaada simu yangu ni nokia x2 ina tatizo la m2 akinipigia au kuni2mia sms inajizima yenyewe,ila nikipiga mm safi.msaada jamani
  14. Robert mp

    Nokia c5-c6 inanizingua.

    simu yangu inanishinda kuinganisha na internet ya airtel pia nikituma nyimbo kwa bluetooth zinaenda kwny cm badala ya memory.msaada anayejua wakuu.
  15. Robert mp

    Uzuri wa nokia c5

    wadau naomba unifafanulie kama nokia c5 ni nzuri?kuna jamaa hapa anataka kuniuzia.pia mnipe na ubaya wake.msaada tafadhari wadau.
  16. Robert mp

    Msaada tafadhali

    Nimeshindwa Ku unlock cm yangu aina ya celkon A 85 ambayo nilikuwa nafungua kwa pattern. Baada ya m2 kuchezea. Inadai niingize account yangu ya google pamoja na password bt kila nikifanya hivyo inasema ni wrong! Please jamani naombeni msaada kwa yeyote mwenye taaluma hyo!
  17. Robert mp

    Msaada antivairus ya Simu

    wadau naomba msaada wa antvairus nzuri ya kutumia kwenye cimu yangu ni Celkon A85 Android.mwanzo nilikuwa natumia avg sasa naona ina mb nyingi mno na mimi simu yangu imebaki na mb 10 tu.msaada wakuu
  18. Robert mp

    Software ya kuedit picha

    jamani naomba msaada software ya kuedit picha na pia msaada cimu yangu ipo slow sana kwenye internet.natumia cm aina ya ANDROID CELKON A85
  19. Robert mp

    Kadi ya dstv kwenye mpeg4 4669xii strong

    Habari wanajf.naombeni msaada kama kuna software ya kuifanya smartcad ya dstv inafanye kazi kwenye mpeg4 4669xii nikiilipia hiyo kadi.kwani nina kadi ya dstv ila sina decorder yao.msaada tafadhari wakuu
  20. Robert mp

    Software ya AVATAR 2 DONGLE

    Natanguliza shukrani zangu kwa wanajf.tatizo nililonalo ni kuwa kuna jamaa anataka kuniuzia software cable ya avatar dongle na amesema inatumika kwa mwaka mmoja.wasiwasi wangu ni kuwa mbona kuna watu humu kwenye jf walisema kuwa walibadilisha software ikakaa wiki moja ikakata mpaka leo.kwa...
Back
Top Bottom