Search results

  1. City hunter j

    Kale kawimbo flani ka muendelezo.....tiririkeni wahenga

    Manjano manjano no no, no smocking ki King majuto to .................
  2. City hunter j

    Sisi wa mikoani

  3. City hunter j

    Kutokuwa na hamu na mpnz wangu

    Habari zenu Kama kichwa cha habari kisemavyo nipo nae Kwa takriban miaka minne sasa na kipindi chote tukikutana 100% tulikuwa tunaridhishana, lakini kwenye hizi siku za usoni kama miezi miwili hivi hari imekuwa tofauti sana kiasi kwamba mpaka namuonea huruma hasa huyu mpenzi wangu kwani...
  4. City hunter j

    Wanaume wa Daslam

    Habari zenu. Katika siku hizi za usoni karibia kila Kona utakutana na sentensi "wanaume wa Daslam" [emoji33] Jiji la daslam ambalo vijana wengi wanatamani wangezaliwa au hata kuzamia daslam tumekuwa tukipigwa vita sana karibia kila Kona na vijana wa mikoani (bush). Nadhani mnatambua fikra...
  5. City hunter j

    Graduate Accountant

    Anatafutwa mhasibu kwenye kampuni moja ya usafirishaji wa anga. Ataanza kama intern kwa miezi mitatu na tukimuona anafaa atapewa kazi. +255 714588799. Usipige txt Whatsap na ntakupa maelekezo.. Nafasi ni moja tu Asante
  6. City hunter j

    iPhone 4s sokoni

    Simu ipo kweny hari nzuri. Ukiiweka kweny box tu inarudi dukani. only 450,000/=. Karibuni
  7. City hunter j

    Jumong series

    Good morning. Kwa yeyote mwenye series ya jumong plz naomba anisaidie. Kwa aliye Dar tu naweza kumfuata alipo.Asante
  8. City hunter j

    Kakuta KY kwenye pochi ya mke wake

    Bado nipo nipo sana. Habari great thinkers. Husika na kichwa cha habari hapo juu. Ni rafiki yangu wa karibu sana, ndoa yake ina miaka miwili 2. Amekuja kwangu kuniomba ushauri. Kwa uwezo wangu mdogo wa kufikiria kwa kweli juu ya hili swala napata wakati mgumu kutoa ushauri. Nipo nae hapa...
  9. City hunter j

    For Quality service

    Please view our web and let do busness. Quality service is guaranteed.Thank u Home
  10. City hunter j

    Hivi MMU ingekuwa Nchi

    MMU ingekuwa nchi madarak yangekuwaje? On my side Uprezdaa angechukua Mode Waziri mkuu:Mtambuzi Wizara ya Fedha: The Boss Wizara ya afya: Watu8 C.A.G:City hunter J Wizara ya mambo ya nje:Heaven n earth endeleeni kupanga wizara... mabadiliko ruuksa
  11. City hunter j

    To understand ur woman,read this

    Just read slowly but sure,word by word..2tafika 2
  12. City hunter j

    Dunia ina mambo

    Designer huyo anakula naniliu
  13. City hunter j

    Your X anapenda akikutana na wewe akukute umechoka flani?

    Habari zenu. Natumain wote wazima and mnaendelea vizuri na ujenz wa Taifa.. Nimekuwa nikijiuliza mara nyingi hili swala,kwa nin wapenzi wetu wa zamani baada ya kipindi flani kupita ukija kukutana nae/nao kwa jinsi utakavyosalimiana nae na story mbili 3 and ukiwa umeSHINE/PENDEZA zaidi ya...
  14. City hunter j

    Tatizo mtaji

    Heshima zenu ndugu.. Kwa jina naitwa Amani.megraduate mwaka jana Bachelor of Accounting..Changamoto za maisha zimetanua mawazo yangu na kufikiria kufanya a small busness ambayo nauhakika itanifanya niwe independent.. Kwa ufupi tu kuhusu hyo biashara.. Mepanga kufungua sehemu ya kuchezesha...
  15. City hunter j

    Tatizo capital

    Heshima zenu wakubwa.. Amani ndiy jina langu,degree holdeq(Bachelor of Accounting) Na busness plan nzuri and ipo kwa maneno japo bado sijaitype..inahítaji kiasi cha mil 2.5.Ndipo nilipokwamia hapo. Kwa yeyote atakayehisi anaweza kunikopesha hicho kiasi naomba tuwasiliane kwa no.+255 714 588799...
  16. City hunter j

    Serious issue, work online

    Vîsit the link below then follow the steps ThePaidTask.com/?refcode=1217
Back
Top Bottom