Search results

  1. dabluz

    Umafia, ubabe na ujasusi wa biashara za Kariakoo

    Hmmm *****..[emoji28][emoji28]
  2. dabluz

    Report maalum: Madanguro ya kichina chanzo cha mauaji ya wachina

    Lakini mshana hiz mishe kama niwao wenyewe kwa wenyewe wachina kuna shida gani !!
  3. dabluz

    Kitendo cha Rais kusimamisha hotuba kisa Adhana ya waislam imakaaje hii kitaifa?

    Binadam tunashida kubwa sana Mungu atunusuru na adhabu zake. Maake hapo kwanza ncheke [emoji23][emoji23]
  4. dabluz

    Kisa kipi kilikufanya ujute sana?

    Ila mwamba kwenye michezo ya pesa umebakisha mambo mawili. Utusue au zikutoe uhai
  5. dabluz

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Hapa nimekuelewa, ndoto zao wengi ni kwenda UK na US lakini wanawachukia. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  6. dabluz

    Wale tuliowahi kunyatia Dada wa kazi tukutane hapa

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  7. dabluz

    Wale tuliowahi kunyatia Dada wa kazi tukutane hapa

    We jamaa fala sana umeanza vzur mara nashangaa nakutana na chai tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  8. dabluz

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
  9. dabluz

    Duh! Rais Samia amkataa mama mnyonge aliyetaka kumlilia kama Magufuli. Nenda kakae…

    Kwahyo unataka Rais akawe hakimu ama Judge kwa muda huo huo mfupi hapo na atoe maamuz!!? Sasa hamuoni kama atakuwa ameingilia muhimili mwingine!?! Halafu kesho muanze tena kumsema vibaya
  10. dabluz

    Biashara tofauti za kuniingizia 50,000/= kwa siku

    Naomba kujua biashara unayofanya sasa hivi na mtaji wake.
  11. dabluz

    Biashara tofauti za kuniingizia 50,000/= kwa siku

    17% 20% hii ratio ya faida bado ipo juu sana, japo zipo zinazozidi hapo lakini biashara nyingi ratio ni 5% to 8%. Ukipata biashara inayokupa ratio ya 20% hiyo sio ya kuiacha. Ni faida nzuri
  12. dabluz

    Wadau wahoji uhalali wa Daraja la Tanzanite kuwa bure huku la Kigamboni likiwekewa Tozo

    Hatakamaaaaa hatukubaliiii serikali ni mojaaaa
  13. dabluz

    Wadau wahoji uhalali wa Daraja la Tanzanite kuwa bure huku la Kigamboni likiwekewa Tozo

    Ndugu zangu wa Kigamboni nawaomba tupange kuonana na Mama Samia. Hatukubaliiiii
  14. dabluz

    Ndoa inaelekea kunishinda

    Huu ushauri sasa duu..ila sio mbaya mara moja moja nae apoozee kwa pembeni. Na wadau wakutoa hiyo huduma wamejaa humu kibao tu.[emoji38][emoji38]
  15. dabluz

    Ratiba yako ya kwenda 'Site' ni ipi?

    Hizo na dawa kaka..
Back
Top Bottom