ndugu mimi nateseka sana na hivyo vitu, nimeshasali sana, nimelala na Bible, nimelala huku naskiliza Qur'an, nimelala na mfupa wa nguruwe, nimelala na vitunguu(atleast kinamsaada japo hakijamaliza tatizo),nimelala na masizi, nimesomewa Albadill, hadi nimeenda mara mbili kwa waganga lakini...
Nimejitoa rasmiiii...., nimeshindwa kubet kistaarabu acha nijiengue maana hamna namna, asubuh mpka jioni nawaza mpira mpaka naota napanga mikeka usiku lakini kichapo kipo palepale, gundu langu nimekuachia wewe unaesoma hii msg,........(hahaaaaa!! just a joke), but thanks to KEIKIU kwa...
leo tar 28/12/2016 saa TISA na nusu za alasili kwa mujibu wa saa yangu, naapa kuwa endapo mkeka niliouweka kwa stake ya 4,500/= ili ilete 17,320/= ukichanika basi itakua ndio mwisho wa kubet kabisa, natamka haya kwa moyo wangu na kuandika kwa vidole vyangu bila shuruti ya mtu yoyote, hili ni...
Jamani wazee wenzangu naombeni kama kuna mwenye mtaji wa kutosha anisaidie buku 10 tu au buku 5 hata buku 2 tu, ili nikomboe pesa yangu iliyopotea juzi na Jana, naumia sana nnavyoona hayo maWON yananipita, nisaidieni jamani kanji katafuna kila kitu sasaivi nabet kwa macho tu, naomba kusaidiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.