Search results

  1. B

    embu cheka kdogo

    Mama: Mwanangu hebu mpigie simu baba yako mwambie chakula tayari Mtoto: Sawa mama Mtoto: Mama simpati Mama: Bac subir kama baada ya dakika tano mpigie tena inawezekana ni mambo ya network hayo. (baada ya 5 mins) Mtoto: Mama mimi baba simpati simu yenyewe anapokea mwanamke. Mama: Kha! Sawa...
  2. B

    Waliowai kusoma/waliochaguliwa NJOMBE sec school

    Jaman nipo kibaha pwani. Nimechaguliwa njombe sekondari. Natafuta m2 wa pande hz anaeenda huko. Au yule aliyemaliza apo anipe information za shulen huko
  3. B

    Fixed na frexible grade

    Iv kunatofaut gan kat ya frexible grade na fixed grade kwa sababu walikuwa wanazizungumzia bungen nikashndwa kuelewa znatumikaje. Na je ni zp zlizotumika kusahihisha mitihan yetu ya form 4 na 6
  4. B

    Page ya NECTA facebook

    Hivi hii page ya necta facebook ni ya kweli au wanatutia presha tu. Maana wamesema matokeo yapo tayar na ndio wanaendelea kuyaweka kwenye mtandao. Alaf kama mtu anayataka yake atume namba yake ya mtihan inbox
  5. B

    Msaada wa kupata chuo

    Wana jf naomben msaada wenu. Nna rafiki yangu 2memaliza nae f4 amepata div 4.28 naomben msaada wenu kama kuna vyuo mnavyo vijua na course zp znalipa hasa znazohuc masomo ya sayansi kama pharmacist..... Matokeo yake ni haya civ F eng F his F kis D geo D che D phy D mat...
Back
Top Bottom