Habari zenu wana JF.
Wakuu nimekuwa na hili tatizo kwa zaidi ya miaka 10 sasa, limekuwa likijirudia mara kwa mara.
Yaani ni kwamba imekuwa kawaida nikiwa natembea njiani nikiona mdada mwenye makalio makuwa yanatingishika inabidi nikae chini kwanza au niegemee nguzo au ukuta, nisipofanya hivyo...
Habari zenu wakuu,
Mara nyingi nimesikia kwenye habari
"Hakimu amemtaka mshtakiwa kutojibu chochote kwa kuwa mahakama hiyo haina mamlaka ya kusikiliza kesi hiyo".
Sasa najiuliza kwanini serikali imepeleka kesi hiyo kwenye mahakama isiyo na mamlaka nayo. Je hawakujua kwamba mahakama...
Wakuu naomba kujua ni adhabu gani kisheria kamati ya maadili ya bunge inaweza kumpa CAG Assad kwa haya yanayoendelea.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Wakuu,
Usiku wa kuamkia juzi niliota nimepata ajali ya ndege, ndege ilianguka baharini karibu na nchi kavu huko sudan, ilipoanguka tu nikashtuka ndoto ikaishia hapo.
Usiku wa kuamkia jana ndoto ikaendelea nikiwa katika hekaheka ya kujiokoa nikafanikiwa, nikahojiwa na waandishi wa habari...
Wakuu, kwenye instagram huwa wanakushauri (suggestion) akaunti za kufollow, huwa wanakwambia fulani ni mmoja kati ya contacts zako lkn kwa kawaida majina ya contacts na majina ya akaunti za insta hutofautiana.
Msaada ninaouhitaji ni:
Nitajuaje namba ya simu ya huyu ambae insta wamesuggest...
Habari wakuu?
Kwa muda mrefu humu JF kila kila nikirefresh katika ukumbi wa New post threads za mwanzo kutokea ni ile ya makapuku na ile ya kubet, je hii inamaanisha waTanzania wengi ni makapuku na wacheza kamari?
Nauliza tu.
Habari wadau,
Mimi ni mshabiki mkubwa wa pranks za Just for Laugh Gags.
Wale wenzangu na mimi tujumuike hapa tucheke pamoja, tupunguze stress tuongeze siku za kuishi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.