Search results

  1. N

    ubadhirifu wa fedha Chuo cha mipango DODOMA (IRDP)

    Ukisoma mawazo ya wengi wano chnagia utajua ni aina ya gani ya watu wanaoandika..anyway...huku duniani vitu haviendi kwa majungu bali kwa haki, usawa na weledi....siku zote sari sana uwe mtenda HAKI..usipende kuwa mtu wa kutaka mambo amabyo mungu hajakuambia...nili watahadharisha kutumia majina...
  2. N

    Kutaka madaraka ya kuwa mkuu wa chuo kiuu angali huna sifa sifa..je ni haki

    Waungwana nisaidieni ,....hili lnakuwa sasa..sasa tuna Drs WENGI, Prof WENGI..Lakini mtu anakurupuka kutaka kuwa bosi tena mtu mzito kwenye taasisi tena kubwa chuo kikuu ..anagali ana Masters tu..imefikia watu wanaenda hadi kwa waganga ..kisa kuwa na cheo....jamani..tuna wasomi wengi dRS ...
  3. N

    ubadhirifu wa fedha Chuo cha mipango DODOMA (IRDP)

    jamani nisaidieni..hili lmekuwa sugu bongo..watu wanaenda kwa waganga ili wawe mabosi angali elmu ni butu ..imefikia watu wananuniana kisa tu hajapewa cheo..au alikwenda kusoma karudi anataka cheo angali wapo wenye elimu kubwa tu na wengine ni mad dr ...je hili ni haki...hili lipo sana vyuo...
  4. N

    ubadhirifu wa fedha Chuo cha mipango DODOMA (IRDP)

    Chuo cha mipango ni chuo knachoheshimika sasa Tanzania..kwa kuwa makini na product..wanafunzi wake hawana muda wa kuzurura mjini...mnataka nyie wa mipango muwe kama wenzenu ..tunzeni hiyo tunu...au ndo mabadiliko hayo naskia ya uongozi yanakuja ..au kuna watu wanataka veyo hapo mwaanza kutafuta...
  5. N

    ubadhirifu wa fedha Chuo cha mipango DODOMA (IRDP)

    Tatizo la wabongo bwana ni ikiwa jua shida ..baridi shida..na ndo mana hatuendelei..necta wamefeli shida ..haya na imefika mipango sasa...mnataka nini.... tuwe wastarabu na tusitumie jukwaa hili kutukana watu..tutoe michango ya kujenga jamani. Kutaja majina ya watu ni sumu ... kuna watu humu...
  6. N

    ubadhirifu wa fedha Chuo cha mipango DODOMA (IRDP)

    tuwe makini na hoja zetu ... ni vema tukaongea yenye evidence kuliko kukurupuka tu.....au kuna mambo mengine ya ubinafsi...hebu muogopeni mungu au nyie ndo mwatak kuharibu chuo cha watu..... kama mtu huajridhika na mabadiliko ni vema utafute sehemu nyingine kwa vile umesoma
Back
Top Bottom