Ndugu zangu nimekuwa nikitumiwa matangazo mengi ya biashara kwenye email yangu kutoka kwa makampuni ya biashara, watu binafsi nisio wajua.Kumbuka sijawah kujiunga nataasisi hizo wawe wananitumia hayo matangazo.
Nifanyeje nisipate hizo info kwani zinanikera sana napengine naona kama Email yangu...
Ndugu zangu napenda kusaidiwa, hivi hela anayoombwa mtu kipindi anapoenda kuomba barua ya utambulisho kutoka ofisi ya serikali ya mtaa au mjumbe wao wanaiita "HELA YA MUHURI".
Hii kisheria inatambulika kweli?
Na kama ipo mbona ofisi za mitaa mingine hawaombi? au wao wana source nyingine...
Msaada wadau,kwa mtu aliyekuwa anafanya kazi kampuni fulani lakini akaamua ku "Resign" kwa notice ya mwezi mmoja ( kufanya kazi bila malipo ndani yahuo mwezi) sababu kuu ya kuacha kazi nikuwa nafasi aliyoajiriwa nayo ni ndogo kuliko elimu yake, sasa ikatokea kampuni hiyo baada ya mwaka...
Ndugu zangu historia inaonyesha kuwa hapo awali kabla mkoloni hajaja africa,waafrika tulivaa magome ya miti tena tukufunika sehemu fulani fulani tu za mwili na pengine baadhi ya jamii waliishi uchi kabisa.Lakini wakoloni wakatuletea nguo na mpaka leo tunavaa kufunika asilimia kubwa ya miili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.