Search results

  1. Lady Unbreakable

    kiwanja Kongowe ya kibaha

    bei ni milioni 14, umbali na barabara ni dakika 5 tu. maji yako karibu,umeme pia upo karibu.
  2. Lady Unbreakable

    chumba cha kupanga self contained

    habari zenu, nina shida ya chumba cha kupanga(self) maeneo ya mwenge,sinza,makumbusho,victoria,ubungo. kiwe na umeme na maji. bajeti yangu ni 100,000. NB: Kodi miezi sita. asante.
  3. Lady Unbreakable

    nimejifunza

    habari zenu wanajamii, mimi nilikuja hapa kuhusiana na kazi za IT na nilipewa maoni mengi tu nashukuru sana, ila kitu nilichojifunza ni kwamba tusichague kazi jamani.chonde chonde graduates wenzangu. Mimi nilipata kazi sehemu kama receptionist kwa kipindi cha nwezi mmoja tu, mshahara ulikua...
  4. Lady Unbreakable

    data entry

    habari zenu tena jamani, nina shida ya kujua mishahara ya mtu anaefanya kazi ya data entry. inarange wapi? msaada tafadhali
  5. Lady Unbreakable

    bei za kusoma MCITP

    habari zenu jamani, kwa anaefahamu bei ya kusoma hiyo koz hapo juu kwa hapa dar, anitajie bei. asanteni
  6. Lady Unbreakable

    recruitment agencies

    Mbona naona kama these agencies are not helpful jamani, mtu unasambaza CV kote ila none of them hata kuita kwenye interview does it mean mimi sina kigezo hata kimoja katika hizo kazi wanazoletewa au ni nini? Yaani sijui maana ya kusoma sasa, ukiwa fresh graduate bila expirience you are in...
  7. Lady Unbreakable

    Msaada jamani. kazi yeyote ya IT. pleaseeeeee!!!

    Wanajamii jamani, nina shida ya kibarua cha IT jamani.. anybody mwenye kuweza kunisaidia tafadhari, hata kunishika mkono mahali. hasahasa networking sector nashukuru sana.
  8. Lady Unbreakable

    Samaki aina ya 'Salmon' kwa Kiswahili anaitwaje?

    Jamani samaki wa salmon anaitwaje kwa kiswahili
  9. Lady Unbreakable

    tigo tanzania contacts

    habari zenu wanajamii.nina shida na contacts za HR wa Tigo au any of the management. Please assist me in this. nawasilisha
  10. Lady Unbreakable

    mshahara wa IT administrator

    habari zenu wakubwa, nilitaka kujua mshahara wa IT administrator in average ni kiasi gani kwa yeyote anaejua. I mean inarange kiasi gani. natanguliza shukrani!
  11. Lady Unbreakable

    Helloooo in here!!!Mambooo

    Habari zenu wanaJF, am new here.. Naomba kukaribishwa ndani,nategemea kujifunza mengi hapa.. :):) asante
Back
Top Bottom