Search results

  1. ISO M.CodD

    Wanaifananisha Shogun na Game Of Thrones

    Tunaisubiri Crimson Sky!
  2. ISO M.CodD

    Kuendelea kuungua kwa magari aina ya Nissan Dualis nchini Tanzania

    Ila Dualis zina shida ya kiwandani. Firewall yake iko karibu sana na exhaust manifold, zile clip za plastic zikikatika zinailalia exhaust manifold na kwasababu inakuwa ya moto, inawasha. Ndio moshi mweusi huo nahisi. NB firewall ni ile plastic inayokaa nyuma kwenye bonnet chini ya kioo kuzuia...
  3. ISO M.CodD

    Nissan Dualis yawaka moto. Hizi gari zina shida gani?

    Ila Dualis zina shida ya kiwandani. Firewall yake iko karibu sana na exhaust manifold, zile clip za plastic zikikatika zinailalia exhaust manifold na kwasababu inakuwa ya moto, inawasha. Ndio moshi mweusi huo nahisi. NB firewall ni ile plastic inayokaa nyuma kwenye bonnet chini ya kioo kuzuia...
  4. ISO M.CodD

    Nissan Dualis: Dxf Nyingine Imewaka Moto

    Sheria ya kwanza ya kumiliki NISSAN. Keep it as close to OEM as possible. Maana yake wiring OG, spare OG. Ila Dualis zina shida ya kiwandani. Firewall yake iko karibu sana na exhaust manifold, zile clip za plastic zikikatika zinailalia exhaust manifold na kwasababu inakuwa ya moto, inawasha...
  5. ISO M.CodD

    Mwamba huyu hapa na mpenzi wake, pesa inaongea

    Hii ndio maana halisi ya kuingiza kichwa tu
  6. ISO M.CodD

    Unajisikiaje kuona Mpangaji mwenzio akiingiza wanawake kila mara?

    Wakati huo yeye yupo anakuangalia tu?
  7. ISO M.CodD

    Wanawake wengi wameolewa ila hawawapendi waume zao kutoka moyoni

    Wanawake hawana uwezo wa kupenda. Women are loyal to their need of you. Not yourself
  8. ISO M.CodD

    Naomba kujuzwa gharama za kipimo cha DNA

    Binadamu ana instincts. Ukihisi kuna faulo, piga filimbi kaangalie VAR
  9. ISO M.CodD

    Madereva wa mabasi ya abiria Tanzania hawana akili ya kuendesha usiku,tutakwisha

    Kweli. Hawana camaraderie ya kuendesha usiku. Tunaosafiri kwa kuendesha private usiku tunaelewa kadhia yao
  10. ISO M.CodD

    Nimemtongoza mke wangu kwa akaunti fake TikTok kanikubali, tena yupo tayari kuolewa

    Sio yawezekana. Iko hivyo unless ana morals, dini au malezi bora.
  11. ISO M.CodD

    Nimemtongoza mke wangu kwa akaunti fake TikTok kanikubali, tena yupo tayari kuolewa

    Na akipata mwanaume bora kweli anasepa, au anapigwa kisela na kuleta dharau kubwa kwako
  12. ISO M.CodD

    TAMISEMI yatoa ufafananuzi juu ya Magari ya ma-DC na RC 56 yatakayonunuliwa

    Hapo ndio naikubali serikali, kwenye usiri wa matumizi. Mapato watabana na kutangaza kweli kweli, matumizi mtapewa summary tu kudadadeki.
  13. ISO M.CodD

    Pisi kali za Mjini unalisha na kuivalisha lakini bado inakuona we ni Mshamba tu.

    Wanajua kukuna ego zetu. Acha tuishi nao kwa akili
  14. ISO M.CodD

    Wanaume wakiacha usaliti kwenye mahusiano, wanawake pia wataacha

    Bado mbichi sana kwenye intersexual dynamics. Hayo mambo hayako binary kihivo, sio black and white.
  15. ISO M.CodD

    Kwa wale anti-Electical Vehicle: Unaijua ZEV Mandate?

    Mafundi bado watabadilisha ball joints, bushings, shockups na fungua funga nyingine nyingi za kutosha.
  16. ISO M.CodD

    Breakup ya kwanza ilikuaje?

    Bila shaka. Kabla ya ubatizo wanaume wenzio wakikuambia unawaona wahuni wanazi, ila baada ya hapo unakuwa unauelewa wa ndani
  17. ISO M.CodD

    Breakup ya kwanza ilikuaje?

    Huo tunaita ubatizo wa moto 🔥 Mwanaume sharti apitie hiyo mara moja, na mara moja tu! Baada ya ubatizo unakuwa senior kamili sasa tayari kuishi nao kwa akili.
  18. ISO M.CodD

    Mimi ni Mhandisi wa Mawasiliano NASA, uliza swali lolote utajibiwa

    Umeniuliza nini mbona siwaelewi? Mimi nimewaambia sheria inataka uwe raia wa marekani ili ufanye kazi NASA. Sasa mnaibishia sheria au mnachoniuliza ni kipi?
Back
Top Bottom