Search results

  1. R

    Ushauri kwa wataalam wanataka ajira za jwtz

    ''na unaweza ukabahatika baada tu ya kuapishwa kumaliza mafunzo yako ya jkt ndani ya mwezi au miwili ukifanya vzr usahili wanakuchukua'' Swali langu ni kwamba hayo mafunzo yanachukua miezi mingapi!?
  2. R

    Wanaopenda kujua kuhusu Kujiunga na JWTZ na Vikosi Vingine vya Usalama

    Haya bhana tunashukuru kwa taarifa japo kwa tulio wengi itatuumiza lakini bado nahisi kuna utata maana hata wengine waliopo huko wanatuambiaga utaratibu ulio kinyume na huu uliotufahamisha wewe so tunashindwa wapi pa kuamini ila all in all we are waiting for de posts,vyovyote zitakavyokuja...
  3. R

    Kama tukibahatika kuchaguliwa nafasi za JWTZ (Officer Cadet) Tujiandae na haya......!!!!

    Hivi hiyo officer cadet ni kuanzia ngazi ipi ya elimu,certificate,diploma au degree?, nijuzeni bhana mana mi nahitaji kuja huko na ni ndoto yangu toka kitambo ila ndo sielewielewi..
  4. R

    Ukweli Kuhusu Tetesi Za Nafasi Za Professionals JWTZ...!!!!

    Umefanya jambo la busara sana ndugu yetu na tunakushukuru sana kwa hilo bila shaka hata zikija kutoka rasmi utatujuza mapema kabla hata hatujachungulia magazetini..
  5. R

    Fahamu kazi za town ambazo kama umemaliza chuo unaweza ukajishikiza bila aibu hapa dar

    Ushauri wako mzuri sana aisee hao wanaoukashfu ujue nyumbani kwao mambo safi kutwa wanagalagala kwenye masofa na kubadili mikao tu huku kila tym ya msosi wakiitwa kuchukua chakula tena bila masimango yoyote. Hawajajua kuna watu mda wote vichwa vina'find out where could be de solution,every...
  6. R

    haya wale wasio na kazi vijiweni

    Mnataka kuzalisha nini hapo mnavyofikiri kama sio uwehu mtupu,watu wakikosaga kazi bhana..
  7. R

    Net Pay TZS 960,000

    Pia si nasikia kama huna g.p.a ya upper second au first class tra huingii!!?
  8. R

    Takwimu: Zijue nchi masikini Duniani

    Wasomi wanaoongezeka kila uchao lakini wasio na ajira wala kufikiriwa kupewa mitaji unadhani inasaidia lolote hahaha..
  9. R

    Habari njema tanesco!!!,,

    haya tunasubiri na ahsanteni kwa taarifa
  10. R

    Tunatafuta wafanyakazi

    ntawatumia na mimi siku so nyingi..
  11. R

    Nafasi ya kazi Arusha

    Daah kila la kheri na Mungu akubariki ili uje uajiri wengi zaidi utupunguzie ma.........
  12. R

    Hivi huyu alisoma wapi??!!

    teh teh teh,ts tho funny aithee
  13. R

    Usaili wa kujiunga na jeshi la polisi 2013

    Haya kila la kheri mlochaguliwa,nendeni mkawe waadilifu hatutaki ubabaishaji..
  14. R

    Any information about jwtz or jkt on joining process this year

    Sidhani kama kuna haja ya kupondana eti kwa nini mtu anataka kwenda JW kwani kwenye maisha si kila mtu ana malengo yake jamani! Respect yourself bhanaa..
Back
Top Bottom