Search results

  1. KIZIBO UTATA

    Kwanini mwanamke ukishamtumia kwa mara ya kwanza siku nyingine hasumbui tena

    Kumbe unapokutana na mwanamke kimwili unakuwa umemtumia????? hehehehheh........Basi sawa!!!
  2. KIZIBO UTATA

    Nini sababu za kuchepuka?

    Kwa wadada wengi huwa ni tamaa ya pesa, ila wengine ni tabia..... umbali pia unachangia kama atashindwa kushindana na vishawishi na kujali kuwa ana ndoa anayotakiwa kuitinza na kumuheshimu mume......
  3. KIZIBO UTATA

    Hili neno nikiambiwa na mpenzi wangu napata hasira sana

    Uaminifu katika mapenzi cku hizi umekuwa mdogo sana......Wanawake wengi wana hofu ya kuchezewa tu na kuachwa and infact they loose more kuliko wanaume pale penzi linapovunjika (kwa wale wanaojali). Cha muhimu ucweke mazingira ya mwanamke kuhisi unamchezea au upo nae kwa muda tu afu umuache, na...
  4. KIZIBO UTATA

    Picha: Ephrahim Kibonde wa Clouds FM atiwa nguvuni

    hahahahahahahaha.........SHUZI LIMEMPATA MJAMBAJIIIIII!!!!!!!! Kibonde Mr. Ushauri kumbe ana vurugu hvyoo.....
  5. KIZIBO UTATA

    Mwenye nia ya kuolewa

    Cjui housegal wangu atakufaa??!!!anatafta mme kwelii Ngoja nimshirikishe afu PM itahucka akiridhia.....
  6. KIZIBO UTATA

    Hii imekaaje: Jobless wa kitanzania kufanya harusi ya mil.20

    Ni ajabu sana.....Tunahitaji kubadilika kwenye hili... Na cha ajabu zaidi hizi harusi za millions of money za cku hizi nyngi hazidumu hta miaka miwili...
  7. KIZIBO UTATA

    Does the Age Difference Really Matter Katika Mahusiano!!!!!!!!

    If u love him madam go ahead....I remembr my primary ticha once told me for a rshp to last u shud at least hav ur ages differ.....And in most cases a man shud b the 1 with mo ages......wat matters z love..
  8. KIZIBO UTATA

    Tapeli wa nafasi za kazi mtandaoni huyu hapa!

    bora kujiajiri.............
  9. KIZIBO UTATA

    Huyu mwanaume sijaelewa nia yake kwangu

    Liache hilo boya..........huko mbele mambo yakimuaribikia atakuita mvivu usiyejua kutafta,,,huwa wana tabia kama ya vinyonga yakubadilika ovyo.........afu atakuendesha na hivyo vijisent vyake atakavyokupa wakati we huna kitu....AMKA MAPEMA NA USIWE BLINDED BY LOVE....
  10. KIZIBO UTATA

    Ampa first born jina la Ex wake!!

    haya ni matatizo ya kufanya compromise kwa watu wengine pale tunapotendwa na wapenzi wetu wa awali.......that means her current husband is a compromise of her previous lover.....i am not judging her bt seriously that sounds stupid and absurd.......
  11. KIZIBO UTATA

    Awamu dhaifu na utekaji wa wanaharakati

    Afu wanaunda tume ya wahalifu wenyewe kuchunguza matukio....
  12. KIZIBO UTATA

    CHADEMA Haiko na Raila, please...

    from this thread and the comments wana CCM utawajua na wana CHADEMA utawajua......i cant wait for 2015,, anyways lets learn from the KENYAN electiion mistakes na sio kuvurigiana.....
  13. KIZIBO UTATA

    Msaada wa haraka kwa huyu mchumba wangu

    Wanaume kama nyie kumbe bado mpo Dunia hii??????kiukwel wanaume wamekuwaga wa kwanza kudai tendo hilo kabla ya ndoa.....am realy suprised kusikia msimamo wako...Heshimu msimamo wako Mkuu, if she loves you she will respect that and if not let her quit.
  14. KIZIBO UTATA

    Kumshika mtoto baada ya kufanya tendo la ndoa

    Hiyo sio maana ya kum-bemenda mtoto.......lakn kiusalama c vizuri kufanya hivyo....
  15. KIZIBO UTATA

    CORD Raises Credibility Concerns Of Results Being Released.

    Akishinda atakuwa SATSFIED akishindwa DISATSFIED......
  16. KIZIBO UTATA

    KIBANDA: Nilisikia akimwambia Mwenzake AFANDE 'mshuti... mshuti'

    halafu hii tabia ya kuunda tume/timu za kuchunguza maovu yanayotokea kwenye hii nchi inazidi kuturudisha nyuma kwani hizi timu/tume huwa znaficha haya maovu.........Daudi mwangosi, Ulimboka, Matokeo ya form 4 na vingine vingi vimeundiwa tume za uchunguzi lakn the funniest thing no answers were...
  17. KIZIBO UTATA

    Hii ni sawa??

    Cku hizi imekuwa sawa so you better get used to it........whenever you see something like that don be suprised, thats our world today..........
  18. KIZIBO UTATA

    Naomba kufundishwa namna ya Kutongoza Mwanamke

    Pole mkaka......hlo ni tatizo la wengi cku hizi lakni jitahdi kuwa na ujasiri,,, i mean jiamini and dont be terrified or shy infront of girls......
  19. KIZIBO UTATA

    Utamtambuaje mwanamke wa dar es salaam?

    teh teh teh..............mbona wanaume wana mavitambi makubwa na hatusemi??????kama kuwa na tumbo kubwa sio dhambi na hakuna maumivu yoyote kwanini wajisumbue kulipunguza???? WANAWAKE WENYE VITAMBI WOTE BE PROUD OF WHO YOU ARE.....
Back
Top Bottom