Search results

  1. I

    Nahitaji wa kunijazia form ya ufadhili, nitakupoza

    Kivipi? Hii ni taasisi na huo ndio utaratibu wa kutoa mikopo kwa wafanyakazi wake. Au unahisi nafanya kazi dukani kwa mtu?
  2. I

    Nahitaji wa kunijazia form ya ufadhili, nitakupoza

    Nahitaji kuchukua mkopo mdogo hapa ofisini, sasa kuna form za wadhamini kama mbili ila anatakiwa mtu anayefanya serikalini au kwenye shirika kubwa linalotambuka. Mkopo ni mdogo tu na ni hapa hapa ofisini ninapofanyia kazi sio kwenye taasisi za mikopo. Unaweza kuja kuhakikisha ninapofanyia...
  3. I

    Ajira za PBZ Bank kwa Watanganyika

    Wana udini na ukabila sana hawa jamaa
  4. I

    DOKEZO Mwanangu ameuawa kwa kupigwa na Mwalimu lakini kesi inazungushwa

    We ni mpumbavu, kwaku wa huna mtoto ndio maana huna uchungu hata kidogo. Utasa sio kosa lako dada, endelea kumuomba Mungu utabarikiwa na wewe, siku moja utakuwa na uchungu na matukio kama haya.
  5. I

    DOKEZO Mwanangu ameuawa kwa kupigwa na Mwalimu lakini kesi inazungushwa

    Dah pole sana ila kwanini tangu mwanzo hukwenda polisi? hata kama polisi hawana msaada ila ni muhimu kutoa taarifa, pia wakati mwanao amelazwa ungepaswa kufanya kama hivi ulivyofanya sasa, Pole sana naamini utapata haki yako na hiyo shule watachukuliwa hatua,. HUU NI UPUUZI WA HALI YA JUU, Kila...
  6. I

    Paul Makonda amkosha Rais Samia kwa uchapa kazi wake, ataka viongozi wengine waige mfano huo

    NJAA MBAYA, watu kama nyie hata vyeo hampewi maana hata huyo unayemfanyia uchawa anaona aibu. Uchawa wako umezidi, tafuta kazi dada(kama sio dada nitashangaa).
  7. I

    Freeman Mbowe atua Mahakamani kunusuru nyumba ya mtoto wake

    We ndio mke wake hadi unajua ana sh ngapi?
  8. I

    Jeff Bezos surpasses Elon Musk as wolrd's richest person

    Watajua wenyewe, mi nipo kwenye foleni ya sukari nipate hata nusu kilo
  9. I

    Naomba ushauri

    Rudi kwanza shule ujifunza kuandika halafu ndio mengine yatafuata.
  10. I

    TANZIA Rais wa awamu ya pili wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi afariki dunia

    Bado kuna watu watajifanya kulia, sijui wanataka aishi hadi lini
  11. I

    Kifaa chako kipi kimewahi kuungua kutokana na hitilafu ya umeme?

    Chaja ya itel au tecno unategemea nini? Pole
  12. I

    Olympic petrol

    Sasa kazi apate ndugu yako halafu we unataka kujua maslahi yake? Ili uanze kumganda au? Pambana kijana
  13. I

    Wakazi wa Magomeni watamani Makonda awe Waziri wa Nishati, hapatakuwa na mgao wa mwanga!

    Kumbe mmekaa kwenye kijiwe chenu huko mtaani?
Back
Top Bottom