Search results

  1. mustafa ommy

    Pendeleza adhabu ya aliyelawiti Kiteto

    Du ssm wameiaribu hii nchi!
  2. mustafa ommy

    Hii ya Maalim Seif nimeielewa, ila hii ya Lubuva mh!

    AAAAAAAh mzee mwanakijiji siku hizi amekuwa kaa malaria sugu. Labda ni yeye katika ID tofauti.
  3. mustafa ommy

    Mbuga za Wanyama 50 zinazoongoza Afrika: Kwanini mbuga zetu nyingi hazimo?

    hizi ranking nani kaziandika na kutumia vigezo vipi?. maana bila ngorongoro ni uongo mtupu, ngorongoro inapokea watalii wengi kuliko hata katavi, halafu haipo. Atakuwa mtu kajichimbia ndani katengeneza hii orodha.
  4. mustafa ommy

    Picha: Miji ya Luanda nchini Angola

    Sisi na dhahabu na gesi vimetufikisha wapi?. Sisi ni wazembe
  5. mustafa ommy

    Kilele cha Kejeli: Kikwete Umenikwaza... "Barua ya Mkosaji"

    Majibu : Mzee Mwanakijiji nimepata barua yako na napenda kukujulisha kuwa "Nimekuteua rasmi kuwa mkuu wa mkoa wa mitandao wenye wilaya za facebuku , twita, instagramu, jamiiforumu, n.k. Uteuzi huo unaanza mara moja na utaapishwa leo usiku kwa kutumia skype. Wako msemaji wa Rahisi.
  6. mustafa ommy

    Taazia: Ebby "Ebrahim" Sykes, 24 Februari 1952 - 15 Februari 2015

    Pole sana M. Said. Apumzike kwa amani.
  7. mustafa ommy

    Matumizi ya Kiswahili vyuoni hasa kwa fani za afya bado sana

    limetumbuka, umenifurahisha sana ndugu yangu saaana tu, kati ya michango nilioiona ya maana mwezi huu ni huu wako. Mimi kwa kukolezea tu niseme hakujawahi kuwa na nchi duniani inayotumia rasilimali zake kusomesha watu wake ili wakafanye kazi nje. Nia ya serekali nikuelimisha watu wake waelewe...
  8. mustafa ommy

    CUF yateua jina la Lipumba kuwania nafasi ya urais kupitia UKAWA

    Nani Lipumba?, aaaaaaaah na ile video yake?, aaaaaaaaaah hapati kura yangu.
  9. mustafa ommy

    Jamani hapa kuna ukweli au sanaa (utapeli)?

    Hiyo inaendana na hii, hakuna kitu kama hicho. Ni Tanzania tu unaweza kuta vitu vya namna hiyo
  10. mustafa ommy

    Sababu za kufunga Boda ya Tanzania na Kenya

    ndio maana nawaheshimu wachina, ingekuwa limetokea kwao, ungekuta makampuni kibao ya kikenya yanakesi tayari wikii hii zinanguruma kwenye vyombo vya habari na mahakamani kama za kodi, antcompetative na nyinginezo. Na mngekuta bidhaa zote za kenya haziuziki shauri ya kodi kubwa. Huwa hawapepesi macho
  11. mustafa ommy

    Wizara ya Madini wamewaleta Wachina waje kujenga Nguzo za zege

    Hii ni fedheha, lakini pia hata hizo nguzo za zege lazima zitengenezwe na watu kutoka nje?. Nguzo za zegeeeee?. Jamani hii sasa basi, mbona kuna magorofa mengi sana yananguzo hizo nguzo za majengo yote hapa tz zimetengenezwa na wachina?
  12. mustafa ommy

    Zanzibar nchi ya kwanza Afrika, Marekani kufungua Ubalozi wake mwaka 1837

    wakati huo kale kammchezo kakalikuwa ndio kameshamiri
  13. mustafa ommy

    Mh makamu wa rais afungua sherehe za extravaganza uwanja wa taifa

    kula tano mkuu, viongozi wa nchi hii ni kama genge la ulaji tu. Nchi inaendeshwa kwa matukio. Ikitokea njaa inakuja kilimo kwanza, mara watu wanaongezeka, zinakuja shule za kata. Shule za kata zinakuja hakuna walimu, wanasomesha walimu kwa kasi. Kagame anapiga mkwala wanaanzisha jkt. Hakuna...
  14. mustafa ommy

    Rais Kikwete, safisha kabisa jeshi la Polisi kabla ya kung'atuka

    Hizi silaha zinazoporwa bila shaka zinaporwa kwa shughuli maalumu Serekali inakanusha, labada ni mkakati wa kulinda upepelelezi. Nahisi kuna kitu kibaya kinakuja kuikumba nchi hii, serekali ichukue hatua haraka. Waweke siasa pembeni, Mh Raisi tunakusihi chukua hatu kuiokoa nchi yetu. Hivi...
  15. mustafa ommy

    Mwanasheria Mkuu: Serikali haitagharimia Mahakama ya Kadhi

    Aende zako huko, akadangaye familia yake na watoto wake
  16. mustafa ommy

    Tanga,Mkwe huitwa Mkaza Mwana

    Ndugu yangu, mbona unaongea kwa hasira namna hiyo?. Sioni kosa la huyu bwana. Leo tarehe 2 unahasira hivyo ikifika 20, si utavunja na keyboard kabisa.
  17. mustafa ommy

    Mateka wa kijapani auawa na ISIL

    Hata kuku asipotaga utasikia ni wayahudi wamesababisha.
  18. mustafa ommy

    Marangu mtoni

    hapa kama si same basi itakuwa hedaru, nikikosea sana basi ni same kisiwani
  19. mustafa ommy

    Jinsi alivyojinusuru kutoka kwenye mikono ya wauaji

    Hapo sasa anafika katikati ya barabara anakutana na semitrela iliyojaa nondo inaelekea mikoani
Back
Top Bottom