Search results

  1. I

    Naomba kujuzwa makumbusho ya taifa ilipo

    Habari za mida wakubwa, nataka niende makumbusho ya taifa ila sipafahamu. Kuna mtu ameniambia iko Mwenge pale Makumbusho, mwingine kasema iko Posta, sasa wananichanganya nashindwa kujua wapi ni wapi. Pliz kwa unayefahamu naomba uniambie ni wapi na unipe direction.
  2. I

    Meno kupasuka

    Habari za mida wakubwa, kuna rafiki yangu meno yake ya mbele yamepasuka/yameoza, hivi kuna uwezekano wa kuyajaza au magego tu ndo huwa yanajazwa? Naomba kujuzwa...
  3. I

    Namdai mtu nashindwa kumchukulia hatua

    Habari za mida wakubwa, naomba kusaidiwa katika hili. Kuna rafiki yangu mmoja ambaye tulikua tukifanya biashara pamoja na kutokea kuaminiana sana, kuna kipindi biashara yake iliyumba kidogo ikabidi anikope mimi hela, nilimkopesha shilingi laki nne bila mshahidi wala kuandikisha popote kutokana...
  4. I

    Msaada, namba ya kumbukumbu ya heslb

    Nlikua najaribu kulipa loan application fee ya HESLB kwa M-pesa (Tshs 30,000). Sasa wakati nikifata process kuna mahali wakaniambia "Ingiza namba ya kumbukumbu." Mimi hiyo namba ya kumbukumbu siifahamu naomba kujuzwa please...!
  5. I

    Kupotea kwa cheti!

    Habari za mida wakuu, Kuna mdogo wangu alimaliza form 4 mwaka juzi akapata division 4 ya point 29, alikaa nyumbani mwaka mzima. Mwaka huu ameamua kutafuta chuo, ila kwa bahati mbaya kwenye mazingira ya kutatanisha amepoteza cheti..!! Naomba kujuzwa wakubwa ni utaratibu gani anatakiwa...
  6. I

    Msaada kuhusu GPA...

    Habari za mida wakubwa, naomba kujuzwa namna GPA zivopatikana (namna ya ku-calculate GPA). Pia naomba kujua first class GPA yake ni ngapi, second class, lower second n.k... Do it 4 me pliz...
  7. I

    Mouth no teeth

    Ouestion:- what has mouth but no teeth? Answer:- River
  8. I

    Please help me...

    Habarini za jioni wakubwa, nina mwanangu mdogo wa kiume mwenye umri wa miaka mitatu na nusu. Huyu dogo kiukweli simuelewi naona kama mambo yake ni ya kikekike, mara anabeba midoli mgongoni kama mtoto, ukipigwa muziki, staili yake ya kucheza anajibinua anacheza kama anataka kubambiwa, mwenzake...
  9. I

    Morogoro

    Hivi kwa nini morogoro inaitwa mji kasoro bahari...?
  10. I

    Can u guys please help me...?

    If someone is in need of being a lecturer, what are the steps he/she is required to follow...? Including what fuculty in university level one is required to take...? Pliz help...!!
  11. I

    Msaada kidogo wakubwa

    Kuna ki2 kidogo kinanitatiza jamani, hivi vikundi kama M23, LRA, n.k vinatokea vp ktk nchi? Ni vyama vya siasa au ni kikundi kinaibuka 2 from no where? Na inakuaje mpaka kinakua kinamiliki jeshi lake within the same country? Na nilikua na wasiwasi mwingine kwamba vyama vyetu vya siasa(upinzani)...
Back
Top Bottom