Search results

  1. Mtambuzi

    KUMBUKIZI: Mada maalum ya kumuenzi Munga Tehnan na kazi zake

    Duh, Mshana Jr umeniamsha aisee... Kesho nitaandika kitu kuhusu Hayati Munga Tehenan....
  2. Mtambuzi

    Je wanawake wanaweza kufurahia mahusiano mapya ya wenza wao walioachana?

    Mzee mwenzangu bado tunahitajika kuwapa vijana elimu ya mapenzi na mahusiano...
  3. Mtambuzi

    Je wanawake wanaweza kufurahia mahusiano mapya ya wenza wao walioachana?

    Je wanawake wanaweza kufurahia mahusiano mapya ya wenza wao walioachana? Kwa watu wenye mahusiano au wanandoa kuachana ni jambo gumu sana katika Maisha hususan kwa wanawake hasa ikiwa katika mahusiano hayo au ndoa hiyo kuna mtoto. Ni jambo gumu kwa sababu kwa mwanamke atalazimika kuwa na...
  4. Mtambuzi

    Madame B, mbona husomeki...?

    Missing you my Baby
  5. Mtambuzi

    Kitabu cha visa na mikasa ya kesi maarufu duniani sasa kiko sokoni

    Kitabu cha Toleo la Pili kitatoka mwakani 2019. Kiko kwenye hatua ya uhariri kwa sasa ili kiwe na ubora maridhawa.
  6. Mtambuzi

    Winnie Madikizela-Mandela na tuhuma za mauaji ya kutisha...!

    Kwa heri Madam Winnie Madikizela Mandela. Tutakukumbuka kwa mengi na ninaamini yote yaliyotokea na kuhusishwa nayo ulishayaombea Toba kwa Mungu.
  7. Mtambuzi

    Wanaume kwanini mnapokamatwa kwa kosa la kutembea na msaidizi wa ndani hamuombi msamaha ili yaishe?

    Acha uongo wewe Mzee. Tabia zako mbaya usinihusishe nazo Bazazi
  8. Mtambuzi

    Kitabu cha visa na mikasa ya kesi maarufu duniani sasa kiko sokoni

    Unatakiwa kutuma TZS 22,000/= kwa Tigo Pesa 0715729292 Kitabu TZS 10,000/= Kutuma Mwanza kwa Basi TZS 10,000/= Ya kutolea Tigo Pesa TZS 2,000/= Jumla itakuwa TZS 22,000/=
  9. Mtambuzi

    Makamanda wa Polisi (Iringa & Dar) watofautiana sakata la Abdul Nondo

    Mbona namuona Kamanda Mambosasa kama ana KITETEMESHI wakati akisoma hiyo taarifa? Haya wataalamu wa Lie Ditector mje hapa kutupa tafsiri ya POLYGRAPH
  10. Mtambuzi

    Wako wapi mapedeshee walioimbwa na kugawa pesa kwa wasanii wa bendi?

    Nununua Kitabu chang tangazo liko hapa JF
  11. Mtambuzi

    Kitabu cha visa na mikasa ya kesi maarufu duniani sasa kiko sokoni

    Mkuu namba zangu ni hizi hapa: 0715729292 0752729292 0782555709 Pia unaweza kukipata pale Dar Free Market kwenye duka la kuuza vitabu vya sheria ghorofa ya kwanza frem za mbele
  12. Mtambuzi

    Kitabu cha visa na mikasa ya kesi maarufu duniani sasa kiko sokoni

    Tuma TZS 17,000/= kwa namba hii nitakutumia kwa njia ya Basi. 0715729292
  13. Mtambuzi

    Wale tulioshuhudia vijimambo vya harusi za Kibongo tukutane hapa

    Nimekuwa nikihudhuria sherehe mbalimbali za harusi hapa jijini Dar ambapo nimekuwa nikishuhudia vijimambo mbalimbali vya kufurahisha na wakati mwingine vya kusikitisha. Nakumbuka Niliwahi kuhudhuria sherehe ya harusi ya jamaa mmoja ambaye nadhani hali yake hali ya familia yake kiuchumi haikuwa...
  14. Mtambuzi

    Bibi Tina wa Mwananyamala

    Ahsante Mkuu mshana jr kwa kuniita. Nitakuja kujibu hoja baadaye nikipata muda kuhusu Munga
Back
Top Bottom