Search results

  1. roxodonta

    Meseji hii ya masista du

    Wanawake huwa hawamaanishi walisemalo
  2. roxodonta

    Mirathi

    Mirathi lazima ifunguliwe. Kikao cha ukoo kinatakiwa kiteue msimamizi wa mirathi hiyo,muandike muhtasari. Nendeni mahakamani kufungua shauri la mirathi ambatanisha hati ya kifo na muhtasari wa kikao cha ukoo. Huo ndo ushauri wangu.
  3. roxodonta

    Kuitwa kwenye usaili TANAPA

    angalia website yao The official site of the Tanzania National Parks - Home
  4. roxodonta

    Kuitwa kwenye usaili TANAPA

    Unayesema umefanya kazi TANAPA kwa zaidi ya miaka 5.Ulikuwa katika nafasi ipi ndani ya TANAPA?
  5. roxodonta

    Hivi hawa wasichana wa kazi wana nini?

    Msamehe bure kama kuna nafasi ya kurudi mfikirie
  6. roxodonta

    Mama yake Zitto avamiwa

    Hiindo imekuwa staili mpya ya wezi,wanakuvamia kisha wanasema tumetumwa na chama.
  7. roxodonta

    Wachina Wanawinda Ndani ya Serengeti

    Acha kudanganya wewe Gesi-Mtwara,lete hiyo picha ya gari la Wachina ambalo wanafanya nalo ujangili. Vinginevyo ww mzushi mwongo na mzandiki
  8. roxodonta

    Ushauri wa aina ya bunduki ya kununua

    Nunua Glock Tembelea maduka ya Tanganyika arms.
  9. roxodonta

    Jamaa -'KALIWA NA FISI MDOMO ,PUA NA MASIKIO' Kisa : Pombe!!!

    Sitaki tena pombe Pumzika unapostahili Mr Ebbo,kawimbo kako kazuri sana.
  10. roxodonta

    Mganga,mganga,mganga.......... ...

    Aanzishe hospitali
  11. roxodonta

    Nimeyasikia haya... Je inawezekanaje?

    Anampotezea faili za kichwani.(nimewaza tu)
  12. roxodonta

    Ulimwengu wa Bernardo Mukassa katika nyimbo za Kikatoliki (RC) Tanzania

    Nyimbo za duniani ndo zikoje? Wewe unaishi mbinguni?
  13. roxodonta

    Huu ni ulimbukeni au ni nini??

    Madereva wa vifodi aka daladala Arusha wana ujinga huo
  14. roxodonta

    Channel Ten: Mchungaji Antony Lusekelo azungumzia Kuchinja!

    Huyo Lusekelo hata haeleweki ni kama maji ya kuoga siyo ya moto wala ya baridi.Anajitahidi sana kuwa kote kote ili watu wa dini zote wamkubali jambo ambalo ni unafiki na anaishia kupotosha waumini wake.
  15. roxodonta

    Guest mjini Kibaha

    Nenda Njuweni
  16. roxodonta

    Precision air wapuuzi

    Miye najipandiaga kaungo ka bibi hadi kwetu Katavi
  17. roxodonta

    Ridhiwani Kikwete atawazwa kuwa chifu wa wanyakyusa!

    Kuna vijana wengi tu wa kinyakyusa.Uchifu wake ni wa kuwaongoza wazee wa sisiem.
Back
Top Bottom