Search results

  1. AbdulKensington

    Kwa hesabu hizi CHADEMA/Lowassa hawatashinda ng'oo

    umeongea jambo la maana sana na pongezi kwako, achana na hawa vipofu na vijembe vyao...wakale malimao!!
  2. AbdulKensington

    UKAWA kumpata mgombea Urais Jumamosi

    Na ole wao UKAWA wampe Lowassa saa hio hio nachoma moto kadi yangu niko hiari hata kuhamia CCM.
  3. AbdulKensington

    Tetesi za yanayojiri kwenye Vikao vya CCM Dodoma

    Dah! Punguza jazba aise nimeuliza tu swali ili niwajibu wakereketwa wake sijasema lolote kuhusu mahaba wa mapenzi (kwani taarab hii?) Wewe ndo utoke na akili yako finyu iliokosa hoja. Shame on you.
  4. AbdulKensington

    Tetesi za yanayojiri kwenye Vikao vya CCM Dodoma

    Wana JF, Hivi karibuni nimesikia wengi wakisema ya kwamba Lowassa alionewa kwenye mchakato wa kutafuta mgombea ndani ya CCM kwa sababu hakuingia tano bora ili "kupambana ulingoni" na kwamba waliomuonea walifanya hivo kwa maslahi yao na kwamba Lowassa hana kasoro au shutuma za rushwa...
  5. AbdulKensington

    Elections 2015 Kukatwa kwa Lowassa, ni mwisho wa ile safari, au ni mwanzo wa Safari Halisi ya Matumaini?

    Hivi wewe unaongea nini??? Kama huna hoja funga mdomo wako!!
  6. AbdulKensington

    Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    Leo hii CCM itarudisha heshima kwa kukata mafisadi na kusafisha chama, nguvu ya pesa si kila kitu!!
  7. AbdulKensington

    Tetesi za yanayojiri kwenye Vikao vya CCM Dodoma

    Out of Point kwani yeye ni nani wa kusema hivo? Mimi nimetoa prediction yangu na yeye basi atoe yake. Msomi siku zote anaheshimu maoni ya wenzake. He can take his judgement and have it with tea!!
  8. AbdulKensington

    Tetesi za yanayojiri kwenye Vikao vya CCM Dodoma

    Upo OP kulikotukuka? Fafanua Mkuu kama sijakupata.
  9. AbdulKensington

    Lowassa zingatia ushauri huu kama utaachwa kwenye uteuzi

    Kila Mtanzania ana moyo wake Mkuu acha kuongea kwa niaba yetu, hivi kwani Lowassa kawafanyia/kawapa nini?
  10. AbdulKensington

    Tetesi za yanayojiri kwenye Vikao vya CCM Dodoma

    Jina la Waziri Mkuu Pinda lazima liwepo na pia Bilal ili tuwe na wawili kutoka Znz.
  11. AbdulKensington

    Tetesi za yanayojiri kwenye Vikao vya CCM Dodoma

    My prediction: 1. Mizengo Pinda 2. Mohamed Gharib Bilal 3. Bernard Membe 4. Asha Rose Migiro 5. Augustino Ramadhani This is the list of merit, fikiria!
  12. AbdulKensington

    Urafiki wa Kikwete na Lowassa

    Nyaraka gani za siri? Kuwa serious na acha siasa za taarab.
  13. AbdulKensington

    Hotuba ya Zitto Kabwe - Julai 04, 2015 na Orodha ya walioweka fedha Uswisi

    Ndugu mbona hio list nina mashaka nayo?, mbona MOSTLY naona wahindi tu na waarabu wawili watatu sioni mwanasiasa yoyote au mfanyabiashara maarufu? Your list looks very flimsy. Dah kama Zitto hakutoa majina leo basi nimemdharau sana. Sad.
  14. AbdulKensington

    Ni nani mgombea bora CCM?

    Wana JF, Ni muda sasa tangu niandike thread yangu mwenyewe ila leo naomba hoja, tumeona mchakato wa kuwania nafasi ya kugombea Urais kupitia CCM na safari hii pia tumeshuhudia rekodi ya wagombea na hii bila shaka ni alama nzuri kidemokrasia ila nataka kujua, nani ndio mgombea bora? Tumesikia...
  15. AbdulKensington

    Taasisi ya Kiislamu ya Imamu Bukhary: Lowassa hafanani na Mtume Muhammad, Madabida awajibishwe

    Ukiwaweka kwenye mmizania Lowassa ni bora sana kuliko mtume Tafadhali chunga sana kauli yako usiropoke tu!
  16. AbdulKensington

    Umaarufu wa Chadema wapungua (Gazeti la Tazama)

    Chadema will take very long to reach The Level CCM is in!
  17. AbdulKensington

    Wasiostahili kurudi bungeni 2010

    Tedi Kasalabantu - Bukene Edward Lowassa - Monduli Lembeli - Kahama Kilasi - Mbarali Hawa ni watu ambao hawatakiwi majimboni mwao kasoro Lowassa ambaye inabidi atimuliwe kabla hajaleta United Republic of Mafisadi.
  18. AbdulKensington

    Was islam spread by sword?

    Wewe Buchanan ni mshenzi na ni mtu ambaye haheshimu dini za watu wengine. Soma historia ya Muhammad SAW vizuri kabla hujaongea pumba zako. Mtu kama wewe ndo utaungua motoni milele, Quran ni kitabu cha Mwenyezi Mungu mmoja na ameelezea moto na pepo kuliko kwenye kitabu chochote kingine, wewe...
  19. AbdulKensington

    Tamko la Rostam Aziz dhidi ya Reginald Mengi na yatokanayo. Amuita fisadi Nyangumi

    Mimi sijawekwa hapa na Rostam bali ninaongea ukweli. Mengi ni "mbaguzi wa rangi", au unabisha hilo? Mengi ni "mgomvi", au unabisha hilo? Mengi ni "fisadi" mkubwa, au unabisha hilo? Sasa una sababu gani ya kusema kwamba ninaongea porojo wakati Rostam ametoa ushahidi tosha kwamba Mengi ni mfisadi...
Back
Top Bottom