Search results

  1. TimeBomb

    Magufuli weka probation kwenye system...!

    Hii nchi imeoza Mh. Rais kuhusu majipu hadi unamaliza miaka yako 10 hutayamaliza, Madudu ni mengi na Issue ni Mindset ya kila mtanzania ndio iko affected na mauozo na tumeyahalalisha na kila mmoja anawajibika kwenye sehemu yake... USHAURI: JPM atoe probation ya maybe 6 months ya kila mtu...
  2. TimeBomb

    Wazungu katika ubora wao, wakidhoofisha fikra za Weusi

    Jamii ya waafrika imezidi kudhoofishwa na kudumazwa kifikra indirectly kwa kivuli cha "Maendeleo" na Usasa. Wazungu au wa Magharibi wamekwa wakitumia sana njia ya utandawazi kupandikiza na kueleza ubora wa maisha ya watu wao especially maarufu kupitia Muziki, Soka na hata filamu, hii imepelekea...
  3. TimeBomb

    Case Studies: "Hustle za LOWASA"

    Ila Edward Ngoyai Lowasa ameniinspire kiukweli kabisa..very Inspirational...hii hustle yake ya Uraisi ukiexchange kwenye harakati zetu za Maisha ya kila siku, Lazima utoboe..njaa utazikia kwenye taarifa za habari. Hii ni "Get Rich or Die Goddamn Tryin" :)
  4. TimeBomb

    Wait is over, Dr. Dre amedondosha his final Album

    Imepita miaka 16 since Andre Young almaarufu Dr. Dre alirelease album yake ya Chronic.Sasa baada ya miaka kadhaa ya kusubiri bila matumain album yake ya mwisho aliyoipa jina la Detox, Instead Sasa ameibuka na kurelease his final album inayokwenda kwa jina la Compton itakayoambata na movie ya...
  5. TimeBomb

    Eti katafute fimbo uje hapa!

    Enzi za 90's ilikuwa ukiharibu utasikia mshua anang'aka nenda kalete fimbooo hapa na kweli unaenda unaisaka huku chozi linakutoka na kujitilisha huruma unaipeleka na unatandikwa balaa..ila Kizazi hiki cha leo ukitoa hiyo amri utaenda kutangaza upotevu wa mtoto kwenye JIJI LETU saa 12...Kizazi...
  6. TimeBomb

    Wasanii wa Bongo Flava ndio muda wenu huu kupiga..Uchaguzi2015

    Salama Ushauri kwa wasanii wa bongo flava, ama hakika huu ndio muda wenu wa kupiga hela. Acheni uboya na njaa wapandishieni dau hao wagombea,muwapige hela nyingi hao wanasiasa. Wasiwatumie tu kibwege ----- mwisho wa siku ikala kwenu. Pakutokea ndio hapa, wakiingia madarakani hawanaga msaada kwenu.
  7. TimeBomb

    Huu wa Walemavu..City mmevagaa Chupi la -----..

    Serikali imeshawazoea wanafunzi,walimu,madereva na madaktari kwa migomo yao sugu ambayo wamekuwa hawapati ufumbuzi..But huu wa walemavu wa karume Serikali mmeingia kichwa mtaumbuka ss. Hawa macomrade nawaaminia Coz wasifu wao ni wenye misimam,wabishi,hawapelekeshwi na vagi lao lazima ukae..City...
Back
Top Bottom