Search results

  1. venance H

    Kwa aliyesom au kufanya kazi embaruway sekondari tu

    Wakuu kheri ya mwaka mpya 2015, baada ya kukaa kimya mda mrefu sasa nimerejea kwa kasi kasi ya ajabu, nitakuwa tofauti sana na mwaka uliopita. nitasoma maada zote za wadau na nitauliza maswali mengi hii yote ni kutaka kujua mengi, maswali yangu nimesikia kuna shule moja inaitwa embaruway ipo...
  2. venance H

    naibu waziri kasim majaliwa amepotosha ukweli

    mapema wiki hii nilinsikia naibu waziri wa tamisemi anayeshughulikia elimu ndugu majaliwa akiuhadaa umma kuhusu mishahara ya walimu wapya, alisema walimu ambao hawajapata mishahara ni kea sababu wamechelewa kuripoti kwenye vituo vyao vya kazi. hii ni kweli wadau? kweli ccm ni sawa na ukoo wa...
  3. venance H

    natafuta kazi ya kufundisha.

    wakuu habari zenu. mimi ni mhitimu wa shahada ya Elimu mwaka 2013 nimespcialize hesabu. kama kuna shule binafsi wanahitaji Mwl mweye sifa kama zangu tuwasiliane inbox. nipo tiyari kuweka mkataba wa miaka mitano. nimechoshwa na ahadi za ajira mpya.
  4. venance H

    kuna umhimu gani wa wakuu wa shule kuwa na shahada?

    Baadhi ya Wajumbe wa kamati ya kuchunguza matokeo mabaya ya kidato cha nne iliyoundwa na mh pinda walibabaini kuwa , kiwango kidogo cha Elimu(diploma) kwa wakuu wa shule ni Moja ya sababu iliyochangia matokeo hayo. Lakini baadae mhe rais alimteua naibu waziri wa elimu mwenye Elimu ya diploma...
  5. venance H

    Naombeni ushauri.

    wadau poleni na majukumu ya kila siku, mi ni mwalimu nimejiendeleza kutoka vodafasta hadi shahada, masomo MATHEMATICS AND ECONOMICS nimemaliza chuo kikuu mwaka huu, nimerudi kituoni kwangu shule mojawapo mkoani shinyanga, Kwa kweli mazingira ya kufanyia kazi ni magumu hakuna nyumba ya kuishi ...
  6. venance H

    Tanzania haina waziri wa elimu.

    WAkuu nimemsikiliza Naibu waziri wa elimu mh Mulugo akiwa tbc fm kuanzia saa tatu usiku huu, ni kweli anachokiongea hakuna jipya, R.I.P jackson Makweta waziri wa elimu kipindi cha mwl hawa wengine hohehahe.
  7. venance H

    Uhuru Kenyatta aisiriba serikali ya Tanzania

    Wakuu Rais wa kenya Uhuru kenyata ameiponda serikali ya Tanzania kwa kuwa tegemezi kwa asilimia 40, ni mahojiano kati ya Dr Mwangi katika chuo cha KENYATA UNIVERSITY.
  8. venance H

    Kiwango cha mshahara

    NDG wanajf kiwango cha mshahara kwa mtu mwenye masters ni sh ngapi? kama bado anafundisha shule ya msingi au sekondari. nawasilisha
  9. venance H

    Naombeni ushauri!

    Wakuu, mi nilikuwa mwl wa vodafasta, nilikuwa nafundisha Hesabu, baadae niliamua kujiendeleza na elimu ya chuo kikuu, baada ya kuondoka katika kituo changu cha kazi niliicha majonzi mengi kwa wanafunzi, Mimi na mwl mwingine tulikuwa tunalimudu sana somo la hesabu, walitutegemea sana hata shule...
  10. venance H

    Karibuni Lyabuasalu Secondary

    Wanajf, Lyabusalu secondariipo moa wa shinyanga km 45 kutoka shinyanga mjini, tangu ianzishwe mwaka 2007 haina jengo la utawala, mkuu wa shule na walimu wanakaa kwenye darasa moja, hii ni moja kati ya shule nyingi za kata tanzania,
  11. venance H

    Nimejiunga na jf

    Ndugu wanajf nawaomba mnipokee mimi ni mwanachama mpya humu jf, nimeamumua kujiunga ilie niweze kutoa dukuduku zangu, kero, na kuuliza maswali ambalimbali,
Back
Top Bottom