Search results

  1. John L. Mihambo

    Msimamo wa Eric Shigongo kwa maazimio ya bunge la Umoja wa Ulaya(EU)

    Mkuu, kuna hoja 15 zimetolewa. Siyo hiyo moja tu unayoipigia upatu hapa!
  2. John L. Mihambo

    Asanteni EU na USA: Kwa zawadi bora ya Krismas na sherehe za kufunga mwaka kwa mfalme na Watawaliwa

    Hilo hatuwezi kulikubali Mkuu, ila yapo mengine kama nchi tunahitaji kuyatafakali upya!
  3. John L. Mihambo

    Asanteni EU na USA: Kwa zawadi bora ya Krismas na sherehe za kufunga mwaka kwa mfalme na Watawaliwa

    sasa dada yangu si nawewe ungejenga hoja yako? Badala ya kuishia kukashifu wengine tu. Nadhani hoja hupingwa kwa hoja, na si vinginevyo!
  4. John L. Mihambo

    Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

    Wakuu naombeni msaada wa hiki kitabu; "How to Raise All the Money You Need for Any Business: 101 Quick Ways to Acquire Money for Any Business Project in 30 Days or Less" - Tyler G. Hicks
  5. John L. Mihambo

    Rais Magufuli atuma kombola kuharibu mapato ya halmashauri

    Wewe kwa akili yako kubwa unaona kombola na kombora ni sawa? Ama umeamua kujitoa ufahamu tu Mkuu wangu?
  6. John L. Mihambo

    Rais Magufuli atuma kombola kuharibu mapato ya halmashauri

    Hapo kwenye KOMBOLA ungerekebisha isomeke Kombora Mkuu!
  7. John L. Mihambo

    China: Fursa za biashara, usafiri na masoko

    Mkuu Kipilipili, naweza kupata plastic pollen traps baada ya muda gani kutoka kwa jamaa zako? Naomba namba yako ya simu tafadhali.
  8. John L. Mihambo

    TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

    Mkuu nimeshindwa kujizua aisee, namkumbuka sana huyu Dada na michango yake.
  9. John L. Mihambo

    John Magufuli: Ninautamani urais!

    Mmh, kuna watu mnajua kubashiri mambo yajayo aisee!
  10. John L. Mihambo

    Maadui wa ndoa na mahusiano yetu ni mabinti

    Mtoa mada umetuhumu tu, suluhisho ni nini sasa?
  11. John L. Mihambo

    Picha: A new glamorous look of Hamisa Mobetto

    Mkuu, hii lugha gani umeandika? Ama ulikua na haraka ya ku comment?
Back
Top Bottom