Search results

  1. M

    Naomba msaada kuhusu madishi ya FTA

    Je risiva ileile ya dstv au unabadilisha?.
  2. M

    Naomba msaada kuhusu madishi ya FTA

    Singida unafika mkuu, naomba unisaidie na mm nahitaji kupata chanel za bure nifanyeje?.
  3. M

    Mbowe kakimbia nini? tunaomba majibu

    ccm lini mtakuwa na akili?
  4. M

    Mbowe apata wapinzani zaidi

    Kwani Zitto ndio nani!
  5. M

    Matapeli ndani ya Facebook.

    hata mimi wamenitumia nyingi tu, wakidai wametokea Sudan kusini wamekimbilia Senegal kama wakimbizi.
  6. M

    Kazi nzuri Tundu Lissu Antipas!

    well said, Lissu mtu wa watu.
  7. M

    Mtaji wa 200,000/=

    Piga no. 0767784949 nikupe kuku wa kutosha wa kienyeji.
  8. M

    Mtoto kuzaliwa bubu.

    wanajf mwenye kujua hivi nini kinasababisha mtoto kuzaliwa akiwa bubu? Nawasilisha.
  9. M

    Dr Slaa atikisa Iramba Magharibi- Singida

    Slaa ni kamanda wa ukweli
  10. M

    Nani mwanasiasa bora wa mwaka 2013?

    Dr. Slaa
  11. M

    Aibu: Tundu Lissu adanganya tena

    Chuki zako kwa Mbowe na Cdm hazitalisaidia taifa kama kipo kuwapa watu umaarufu, basi achana nacho, ulitaka Mbowe atoe ushahidi kwa nani mbona mliambiwa muunde Tume huru ya kuchunguza na ndio ingekabidhiwa huo ushahidi...
  12. M

    Zitto na CHADEMA tangu 2010

    NJAA KITU KIBAYA SANA AMEKULA PESA ZA WATU LAZIMA AIHUJUM CDM VINGINEVYO ATAHUJUMIWA YEYE NA MACCM.
  13. M

    Msaada: Mabinti hawa email zao zinafanana

    Mkuu hii kitu ilinitokea hata mimi.
Back
Top Bottom