Search results

  1. Deodat

    Sheria ya Uchaguzi ni mbovu! Kuendelea kuitumia sio Ujinga? Kuwabebesha masikini gharama za Uchaguzi sio Dhambi?

    Shida yako unafuata msafara wa chama fulani bila kuhoji. Ukiwa na tabia ya kuhoji, ni ngumu sana kuwa na msimamo na chama chochote Tanzania, vyote vimejaa ujinga ujinga tu.................
  2. Deodat

    Jeshi la Polisi litoe tamko kuhusu umilikaji holela wa vifaa vya ujasusi

    Hizo voice recorders na camera zinazouzwa hata maduka ya kawaida ya electronics ndio vifaa vya kijasusi?.... nonesense!
  3. Deodat

    Usaili wa jana wa TRA kuna mtu aliniambia hajaona mtoto wa Kihindi pale, Unajua kwa nini?

    Wakati nafanya BCom UDSM kulikuwa na muhindi mmoja ambaye aliomba admission ya degree ya education ili iwe rahisi kupata nafasi, lakini chuoni alichukua course zote za accounting na finance kama electives zinazotolewa na FCM (siku hizi UDBS), sasa hivi ni banker mkubwa sana.
  4. Deodat

    UTEUZI: Catherine Ruge(CHADEMA) ateuliwa kumrithi Dr. Macha(aliyefariki), Ubunge Viti Maalum

    Hapana sio wa kawaida, kwa akii za darasani kweli nakubali ni wa kawaida sana, lakini kwenye mbinu za kupata anachotaka....sio wa kawaida,
  5. Deodat

    UTEUZI: Catherine Ruge(CHADEMA) ateuliwa kumrithi Dr. Macha(aliyefariki), Ubunge Viti Maalum

    Kwenye swala la elimu huyo Nyakao hamumkamati.......kasoma vizuri tu.
  6. Deodat

    UTEUZI: Catherine Ruge(CHADEMA) ateuliwa kumrithi Dr. Macha(aliyefariki), Ubunge Viti Maalum

    Catherine, kipindi hicho tukisoma wote alikuwa maarufu kama "Nyakao" ni mwanaharakati mzuri tu, pia ni mjanja sana. Amemaliza chuo mwaka 2007, BCom pale Mlimani. Nakumbuka mara baada ya kumaliza chuo alipata kazi NBC. Alijindeleza pia na kupata MBA with distinction. Ni kitambo kidogo lakini mara...
  7. Deodat

    Msaada kiwanja Ku-Date

    Kama lengo ni kuwa mchumba na baadae umuoe, na huna mkwanja kiivile, nunua nyanya, pilipili hoho, nazi, karoti, vitunguu, mchelele/viazi, matunda, nyama ya ng`ombe/kuku/samaki etc. Pika chakula hapo unapoishi, tengeneza juisi na andaa matunda, umkaribishe mpate chakula. Akipenda anaweza kuja...
  8. Deodat

    Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

    Most likely jina la Patel halitarudi kutoka juu......... kuna faida pia ya "Ku post picha zake na viongozi wakuu huko Instagram na Facebook". Tuhuma za rushwa zitamuangusha Patel. Si unakumbuka 2010 Kigwangala alikuwa mshindi wa tatu kwenye kura za maoni?
  9. Deodat

    Jenerali Ulimwengu: Hata kwenye upuuzi tuko dhaifu!

    Crappp! Kweli akili za kuazima mbaya sana.......kama hujaelewa alichokisema Jenerali soma tena mstari kwa mstari ndio uje kutoa maoni yako hapa.
  10. Deodat

    Ukitaka Kumkeep Mwanaume Mpangeee, Mmanipulate Utafurahi Mwenyeweee; Ukienda Fair Play Itakusumbua!

    Katika watu wa hapa JF ambao natamani kuonana uso kwa uso, lara 1 is on top of my list.
  11. Deodat

    Kazi za Kiongozi Mkuu wa ACT-Tanzania

    Zitto ni noma sana.......yaani anajitekenya mwenyewe, halafu anacheka! Mwenzie Mrema ilikuwa hivihivi, akajitekenya na kujichekesha mwenyewe mwishoe kaishia kujamba mbele ya hadhara; leo hii Mrema amebaki kulia lia tu akimuogopa hata Mbatia, kijana aliyemlea yeye mwenyewe.
  12. Deodat

    Kuhusu Zitto Kabwe: CCM wamecheza game of mind kuelekea uchaguzi mkuu

    Kaka na wewe ndio umekurupuka na kushindwa kufikiria kwa makini. Toka lini adui yako akahuzunika na kusikitika juu ya anguko lako? Zitto alivyowaunguza kwenye sakata la ESCROW wangepata wapi moyo wa kulia nae msiba huu? kuna jambo hapo. CCM lazima wasikitike ili kumsaidia Zitto apate public...
  13. Deodat

    Kifo cha Kapt. Komba, funzo kwa wanasiasa

    Haya nenda tuition mchikichini ukasaidiwe kuelewa!
  14. Deodat

    Diamond agombee ubunge jimbo la Ubungo

    East African Eagle The most stupid suggestion I have heard in this year!!!!
  15. Deodat

    Hivi ndivyo rais mstaafu Mwinyi anavyomzungumzia Makamba

    Karugendo "kanasa"----------Njaa mbaya sana!
  16. Deodat

    Hivi ndivyo rais mstaafu Mwinyi anavyomzungumzia Makamba

    Una wakati mgumu sana kujenga jina la Makamba. Kizuri chajiuza kibaya chajitembeza. Hivi nyie watetezi wa Makamba ni kwa lipi hasa huyu mtu atatushawishi sisi kumkubali awe rahisi wetu? Ana ajenda gani mahususi aliyoisimamia? Hizi sarakasi zake za kukopi mbinu za Obama kuandika vitabu hapa...
  17. Deodat

    Kikao cha dharula: Kitimoto kwa wabunge wa CCM wanaopigia kelele Escrow

    Makuwadi wa CCM wakikosa hoja wanaishia kusahihisha lugha.......hii ngoma imekaba "rectum" zenu.
  18. Deodat

    Kikao cha dharula: Kitimoto kwa wabunge wa CCM wanaopigia kelele Escrow

    Pimbi wee! pesa za umma zimeibiwa wewe unaleta mambo ya kishoga hapa! kwenda zako huko kuwadi wa CCM we!
  19. Deodat

    Ndugai:No contract is above the law

    The National Assembly has thrown weight behind its committee over the Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) officials' saga, saying the constitutional law surpasses all binding laws of any contract. Speaking in an exclusive interview with The Guardian on Sunday Deputy Speaker, Job...
  20. Deodat

    Profesa Jakaya Kikwete na wazee wake wa Dodoma wamepishana na gari la mshahara

    Usihofu mkuu hata Maji marefu nae anaitwa Profesa!
Back
Top Bottom