Nashukuru sana kwa mawazo yenu mazuri yaliyonifariji pia na kunipa fundsho zuri , nlikua pia nina maana kubwa kuandika hvyo , ndugu wapo bahat mbaya wapo kijijini sana hakuna mawwasiliano ya haraka pindi ninapohitaji ushauri au msaada wowote , yamkini pia hawana ushauri kama wazazi ...
Wazazi wangu walifariki kipindi kitefu kilichopita, kutokana na changamoto za maisha ya kila siku kuna kipindi nahitaji mawazo ya wakubwa na kufarijiwa kama mtoto kwa wazazi.
Naishi kwa kujitegemea mwenyewe tangu pindi pale 2007 nilipompoteza mama yangu kipenzi , na kubaki yatima, Mungu wangu...
I am so interested with this forum asee , I have been searching for an opportunity so that I could expressed my feelings but I could not find , so now let me say, sipo mbali na mtoa mada hitaji lake ni kama langu , nina miaka 27 ni askari jeshi , whoever interested and serious ani pm
Kachukue ndinga yako kiongozi piga chini huyo mtu. Kuna madada kibao wanataka lift rod. Then unga nao kibingwa. Penzi halilazimishwi. Ukidema umedema wew nyuti
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.