Search results

  1. K

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mimi ni mwalimu wa sekondari nipo biharamulo mjini nahitaji kuhamia dodoma.hivyo natafuta mwalimu anaye hitaji kuhamia biharamulo tubadilishane nae
  2. K

    Nahitaji mwalimu wa kubadilishana kituo cha kazi biharamulo-dodoma

    Mimi ni mwalimu wa sekondari nipo biharamulo mjini nahitaji mwalimu wa sekondari aliyepangiwa dodoma anayehitaji kuhamia biharamulo tubadilishane kituo cha kazi kwani mimi nahitaji kuhamia dodoma.tuwasiliane kwa 0762883206
  3. K

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mimi ni mwalimu nilipangiwa biharamulo mjini nahitaji kuhamia dodoma hivyo nahitaji mtu anayetaka kuhamia biharamulo tubalishane nae.namba yangu ya simu ni 0762883206
  4. K

    Proffesor mwamfupe (udom) hela zetu za chakula wakati wa registration ya first year ziko wapi?

    Sisi wafanyakazi wa college of humanities and social science (udom) tunasikitika kudhulumiwa pesa zetu tulizo ambiwa na prof mwamfupe(ambaye alikuwa acting principal) tujitegemee kwa chakula wakati wa zoezi la kuwapokea first year ambazo aliahidi mara baada ya zoezi kumalizika tutarudishiwa pesa...
  5. K

    Principal wa social science (udom) ni fisadi

    Ndiyo ni yule mzee anaitwa Prof Rubagumya yaani ni mbinafsi na mwoga sana kuliko maprincipal wa college nyingine hapa Udom
  6. K

    Principal wa social science (udom) ni fisadi

    Hajalipa hela ya registration kwa wafanyakazi wake .wenzake wameshalipa yeye anaogopa kwani anabembeleza kamkataba kake.Kwa nini hakujipanga kimaisha kabla hajastafu?
Back
Top Bottom