huyu ni kiongozi wa kwanza kupendwa Sana na watu Tanzania hata na afrika kwa ujumla ni raisi anayefuata nyayo za baba wataifa, ni mchapakazi asiyependa rushwa na asiyependa watu wakionewa na kunyanyaswa,
Nampa pongezi Sana kwa hatua ya kuwaachia huru wafungwa mbalimbali siku ya uhuru sikuweza...
Habarini wakuu,
Nimekaa nikajiuliza kwanini pindi watu wanapoanza mahusiano mapenzi yanakuwa motomoto ila inapofika muda fulani mapenzi yao ufifia na mtu anafikiria kuwa na mchepuko.
Nini linakuwa tatizo na njia zipi unazitumia kuboresha mahusiano yako toa maoni yako au unashauri njia zipi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.