Search results

  1. Iron

    Msimamo: Nitasimama na Majemedari Ninaowajua, Tuliopigana Vita Pamoja Nao...

    I may not know so many things. Lakini najua Kibaki alisimama sana kuimarisha uchumi wa Kenya. Na ni vuguvugu hilo lililobadilisha siasa za Kenya hata leo. They are running! Sisi bado tunajishawishi kama tunataka kutembea au lah!
  2. Iron

    Mchango wa Dr. Bana, Prof. Shivji, Prof. Kitilla na UDSM katika kuliangamiza Taifa

    Yericko Nyerere Inawezekana unayoyasema yana ukweli ndani yake. Ila nikuulize swali. Umefanya tafiti ukapata maoni ya wanazuoni wangapi kuhusu katiba mpya? Umejiuliza katika mabaraza yaliyoitishwa na chuo hiki nini ilikuwa misimamo yao? Tafuta kitabu kilichotolewa na Shule ya Sheria ikijumuisha...
  3. Iron

    Ushauri kuhusu Subaru Forestar

    V8 inakula nini jombaa? Nunua tuu
  4. Iron

    Kagera: Wafariki kwenye Ziwa Victoria walipokuwa wanabatizwa...

    Hakuna dini yeyote ya Kikristo isiyotaja ubatizo. Ubatizo, uwe wa maji mengi au machache ni alama muhimu katika imani y Kikristo. Mambo ya mwenendo wa kanisa au uzembe wa watendaji yashughulikiwe kama hivyo na sio kuwa na general assumptions.
  5. Iron

    mainjinia wa UDSM warudisha umeme mtaani

    Undergraduate Student! Pheeew!
  6. Iron

    TRA's Kitilya to retire from public service, Blandina Nyoni or Dr. Dau to take over...

    Prof Florens Luoga wa Udsm.... Tax consultant,now DVC-Research and Knowledge Exchange. Anafaa sana
  7. Iron

    Wabunge watatu wa CCM wauza unga wajisalimisha

    ICC na madawa ya kulevya?
  8. Iron

    Late Sedekia kumbe alichukuliwa kimzimu

    Craaaaaaaaap. Kama wamemkataza asitaje majina ya watu kwanini amtaje Sedekia?What was the motive?
  9. Iron

    Balozi wa Ujerumani kajisikiake na hotuba hii ya JK-UHURU?

    Yaani shule zikifungwa. . . !
  10. Iron

    Dr. Bilal kugombea Urais Tanzania 2015

    Huyu huyu Bilal au kuna mwingine?
  11. Iron

    Hotuba ya Rais Kikwete, Bungeni Dodoma - Novemba 07, 2013

    Yaani nasubiria kumskia mkuu wa nchi akitoa uamuzi. Sisikii
  12. Iron

    PICHA: Warembo wa JF kama nilivyonasa picha zao Facebook.....!

    Umekosea kidogo. Wa kwanza kabisa ndiye Preta. Halafu huyo Paloma ndiye gfsonwin. The rest umepatia
  13. Iron

    Col. Sultani Makenga (Kiongozi wa M23) ajisalimisha Kampala

    The question here is why these top leaders upon their surrender find it pleasing and safe in Rwanda or Uganda?
  14. Iron

    Hivi ndivyo wanavyotuponda EAC Wakenya (Tanzania seeks new partners outside EAC)

    Can Tanzania stand without Kenya? I bet yes! Then we should show them a goodbye hand. The only problem is like Kenya has invested a lot in Tanzania. And I think the moment we close the shop with them, they are doomed!
  15. Iron

    Babu Seya/Papii Nguza kweli walibaka? Tukielekea kureview kesi yao oct 30

    Tatizo ni kuwa ukisoma ushahidi utaona walikuwa na hatia. Sasa kina babu Seya walipaswa kujitetea kuweka mashaka ktk kesi ile. Kusema tuu huwezi kusimamisha haikutoi hatiani
  16. Iron

    Kukaa jinsia mbili tofauti kwenye seat ya bus

    Sasa mtundu lazima utakuwa unajua hiyo lugha
  17. Iron

    Dating Siku Hizi Nayo Majangaa!!!!!! Wadada Is This A Deal Breaker Kwenye New Relationship!

    Step ya kwanza ulokosea lara ni kuamini kuwa mapenzi ni kuchomeka na kuchomoa. Hiyo si sawa. Sex (the act of) ni sehemu ndogo lakini muhimu sana katika suala Zima la upendo. Sasa alichokisema gfsonwin name nikamuunga mkono ni kuwa kama mnapendana mtasaidiana, kufundishana na kuelimishana. Kama...
  18. Iron

    Dating Siku Hizi Nayo Majangaa!!!!!! Wadada Is This A Deal Breaker Kwenye New Relationship!

    What a point! Watu wakimfuata huyu lara 1 wanajikuta practically prostitutes hata kama hawajiuzi barabarani
Back
Top Bottom