Search results

  1. realsam

    INAUZWA Popcorn machine for sale

    Kanunue hiyo ya laki 3 kwani shida nini?
  2. realsam

    INAUZWA Popcorn machine for sale

    Inauzwa tsh. 350,000/ karibuni. Ilala Bungoni. Dar es Salaam. Call 0755803200
  3. realsam

    1969 mwanadamu hakuweza kutua mwezini!

    1969 MWANADAMU HAkUWEZA KUTUA MWEZINI !! Wamarekani walijitahidi sana kuudanganya Ulimwengu Mwaka 1969 kwa malengo yao binafsi kisiasa na kiuchumi, lakini Ukweli utabaki kuitwa Ukweli. Picha yote ya kwenda Mwezini Mwaka huo ilibuniwa ili kuulaghai Ulimwengu kwa sababu zifuatazo : 1- Mwezini...
  4. realsam

    Fatma Karume: Nitawatetea wapenzi wa jinsia moja, Amber Rutty ana haki ya kutumia mwili wake

    Sasa we Mtume wako ni nani?? km sio Muhammad utakua sahihi...
  5. realsam

    Kenya to Sell Ports, Banks, Electricity Company etc. to China

    BORA YASISHINDANE LAKINI C KWA UJINGA HUO MNAOUFANYA. KWA SS HATUNA SHIDA TU RAISI BORA AFRIKA BILA SHAKA YATAKUAWA COMPETETIVE. TUMESHANUNUA NDEGE SABA - UNATAKA NINI TENA, IN 3 YEARS.
  6. realsam

    Kenya to Sell Ports, Banks, Electricity Company etc. to China

    CHINA ATAKUA ANAJIPANGIA BEI MWENYEWE COZ ATAKUA NA NGUVU SANA. ATALIPA KODI ANAYOTAKA, ATALALAMIKA KILA CKU KODI KUBWA ILI APUNGUZIWE NA BILA SHAKA ATAPUNGUZIWA. KENYA MMEKWISHAAAAAAAAAAAAAAAAA
  7. realsam

    Kenya to Sell Ports, Banks, Electricity Company etc. to China

    WE NDO NJINGA KWELI.. Air Tanzania Company Ltd (ATCL) - Iko chini ya serikali ndo maana tumenunua ndege zetu mpya cash kwa pesa ya serikali. Tanzania Telecommunication Company Ltd (TTCL) - iko chini ya serikali, we mshamba kweliiiiiiiiiiiiiiiii
  8. realsam

    Kenya to Sell Ports, Banks, Electricity Company etc. to China

    WE SHANGILIA TU... MATOKEO YAKE UTAKUJA KULIA NA KUTOA CHOZI.
  9. realsam

    Kenya to Sell Ports, Banks, Electricity Company etc. to China

    TANZANIA hatuwezi kufanya UPUMBAVU HUO.:D:D:p:rolleyes::rolleyes::rolleyes:
  10. realsam

    Kenya to Sell Ports, Banks, Electricity Company etc. to China

    HII NI DISASTER KWA AFRIKA. HIYO NI DANGANYA TOTO, UKWELI NI KWAMBA MNADAIWA MADENI MENGI NA MMESHINDWA KULIPA.:D:D:D
  11. realsam

    Kenya to Sell Ports, Banks, Electricity Company etc. to China

    usijisifu sana, huu ni ukoloni mamboleo, mnauzia wachina ,..!! hakuna wakenya, ??? Hao wanakuja kuwanyonya tu na kuwaibia.
  12. realsam

    Unatumia bando la internet kiasi gani kwa mwezi?

    TTCL mpango mzima 4gb kwa mwez sizimi data naingia mitandao yote mpaka nachoka.
  13. realsam

    Makonda: Atakayenunua makontena yangu atalaaniwa yeye na kizazi chake! Atoa onyo kwa atakayethubutu kununua

    Vyombo vya kusimamia vifaa vifike vinapotakiwa viko vingi wala haliitaji uchunguz Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom