Search results

  1. N

    US Election Coverage 2008

    VP kwa kawaida anaweza kuwa President wakati wowote. Mimi nakwazika kuamini kwamba Sarah Palin anaweza kuongoza mamia ya mamilioni ya wamarekani. Kwanini? Kwa sababu mwanawe wa miaka 17 (a teenager) kabeba mimba ya utotoni kwa maana kuwa mama kashindwa kumwongoza mwanae. Sasa hiyo ni familia...
  2. N

    Genetics play a big role

    One Mhehe from Iringa was admitted to a Hospital in Dar for a heart transplant. Prior to the surgery, the doctors needed to have his type of blood in store, just in case the need would arise during the course of the surgery. Apparently he had a rare type of blood, which couldn't be easily found...
  3. N

    Mwanaume kupenda kunusa kufuli la mwenzi wake

    ...Unless hamuaminiani kunusa kufuli si ufumbuzi. Kwani utasikia harufu gani kama mtu alilivua kwanza kufuli lake, akazioga bakora au nanihino kisha akaenda kuoga akajipulizia perfume na kisha usiku unajidai kunusa. ...hakika hutapata clue yoyote na utamfanya akuone bwege mtozeni. Wewe weka...
  4. N

    Case for one month National Service refresher!!!

    JKT haikuwa na lengo la kuwafanya watu wasipiganie haki zao!!! Hivi wale jamaa (Makamanda) wamebadilika au wako vile vile? Nina wasi wasi kama wakiendelea kama enzi zile watayaoga makonde. Tutawavimbia kweli kweli!!!!! Date: 8/23/2008 Case for one month National Service refresher!!! By Tony...
  5. N

    Natafuta Mme !

    ...huoni kwamba kwa kuweka kigezo cha elimu unakosa waume bora? Vipi kama niko interested lakini Masters sijaiweka kibindoni bado lakini naendelea na Coursework? ...hivi wewe mwenyewe unazo digrii ngapi? Ni muhimu kufahamu kwani isijekuw wewe huna kabisa lakini unatafuta mtama kwa warembo...
  6. N

    Je hii nayo umewahi kuisikia????

    Kwakweli haya maendeleo yanatuletea mambo hasa kwa jamii fulani fulani hapa katika ka nchi ketu. Kama umewahi kuiona, basi mezea yaani kula bati! By courtesy of GSM Network Rugarabamu a.k.a Message Failed: How are you Message Mulokozi? Ever since mobile phone services were introduced in...
  7. N

    Yanga yaanza kazi

    ...Ushindi wa Yanga ilikuwa baada ya kujikakamua saana ili wafanye kama MNYAMA! Lakini mimi nasema kiama kinawasubiri 26-10-2008. This time hata wakitia ngoma kwapani tunawafuata huko huko. ...si unaona hata Dalali (Field Marshall) ilibidi ampishe kwanza aongee wakati wa kutia saini mkataba...
  8. N

    Mkurya na Security Guard Job Application.

    ========================================================== Kwangu mimi huyu mkurya amejieleza bomba sana. Tatizo ninaloliona ni jinsi atakavyopatikana kwani hakuweka maelekezo sawia...labda kwakuwa atakwenda kuulizia mara kwa mara waungwana waweza kumshtua. Kwa shule kama zetu ambapo kukaa...
Back
Top Bottom