Search results

  1. M

    Kapuya na pesa za ufisadi wa kampuni ya kijasusi ya CATIC International

    Halafu anaibuka mtu anasema hayo ni mambo binafsi ya kapuya hawezi kuhojiwa.ningelikuwa na uwezo ningewachapa risasi wote.kapuya na kava
  2. M

    Kapuya Matatani: Adhibitiwa na kitoto kinachodai alikibaka, akakiambukiza virusi

    Halafu babu seya amefungwa!huyu anatanua tu!kazi kweli kweli
  3. M

    Yajue madhara ya kutumia vidonge vya paracetamol au panadol kwa muda mrefu

    Nashukuru kwa elimu hii.dawa zipi za maumivu zisizokuwa na Madhara haya?
  4. M

    Tanzia: Balozi Isaac Abraham Sepetu (baba yake Wema Sepetu) afariki dunia

    Ni kweli kabisa.alale pema peponi mzee sepetu.
  5. M

    Yathibitishwa, Dr Ndalichako aondoka NECTA

    Unaonaje ukiongea na mwenye nnchi ili akupigie Chapuo nafasi hiyo uishike wewe?huenda ukakamilisha matarajio yako na nafsi yako ikapata amani.
  6. M

    Tunda hili kikwenu unaliita jina gani?

    Ni bibo na korosho yake
  7. M

    FACEBOOK CURENTLY HAS 4 VIRUs ATTACKS

    Asante kwa taarifa bosi.
  8. M

    Jambazi Mstaarabu

    Waende shule wakasomee si kutegemea kipaji tu,vinginevyo wataendelea kufanya nyanyambuu Siku zote.
  9. M

    Boti linawaka moto bahari ya Hindi

    Poleni sana mliopatwa na ajali hii hasa wavuvi na familia zao.
  10. M

    Emirates yafanya maajabu uwanja wa ndege dar es salaam

    Sababu za ku overshoot kwa ndege ni Kama rubani ameona runway si salama kutua,Kama moja ya landing procedure haikukamilika,Kama rubani ameamriwa na aircraft controller ku overshoot,Hali ya hewa,misaproach.hivyo rubani wa ndege husika ndiye anayejua sababu ni ipi ya kufanya overshoot.
  11. M

    Upungufu wa wingi wa damu kwa Watoto (Anaemia)

    Ni kweli kabisa ila mtoto wangu anasumbuliwa na mafua mara kwa mara na daktari ndiye anamwandikiaga hizo dawa.je inaweza kusababisha kutokuongezeka kwa damu ya mtoto?
  12. M

    Upungufu wa wingi wa damu kwa Watoto (Anaemia)

    Mzizi mkavu,je matumizi ya antibiotic mara kwa mara kwa mtoto inaweza kuwa ni sababu ya upungufu wa damu kwa mtoto?
  13. M

    Majina ya Wanawake wa JF

    Ngoja niheshimu mawazo yako.uko saw kabisa
  14. M

    Boni mwaitege na mtazamo wake kuhusu ndoa...

    Kama mfumo wako ni wa wazee wa kale na hauishi kwa mfumo wa waarabu na wazungu nisawa na ninaheshimu maamuzi yako.sasa kuna wengine ambao tumeamua kuwa na dini hizo ambazo zimeenezwa na waarabu na wazungu na tunazifuata na kuamini kila kilichoandikwa ktk vitabu vitakatifu,ninaomba na wewe...
  15. M

    Namna Omary Machupa Amleavyo mwanawe

    Maana yake nini?
Back
Top Bottom