Search results

  1. OFFORO

    Shukrani kwa ukaribisho - Anna Tibaijuka

    Respect Prof. Wish you all the best!
  2. OFFORO

    Freeman Mbowe: Nguzo na mhimili muhimu kwa ustawi wa CHADEMA

    kwa akili yangu ndogo! naona umefika wakati sasa tuwe na tabia ya kuwa na capacity building kwenye institutions zetu. tusiwe na mawazo kuwa asipokuwepo mtu fulani hakiwezekani. vijana wapo wenye uwezo wa kutosha, let the institutions give them support. kwa nini wenzetu waweze sie tushindwe
  3. OFFORO

    Mpendazoe ni Mrithi wa Mrema?

    Bongo hakuna siasa! Ni kelele tu za watu wanaotaka kula ruzuku za serikali! Kwa mfano angalia jinsi tlp walivyokuwa wanaendesha kikao chao cha mwisho ambacho kilimpata mgombea urais! Porojo na majungu mengi mungu ibariki bongo, wahuni wasiongoze nchi hii
  4. OFFORO

    East African Federation (EAF) public Views

    good i like that! ila isiishie midomoni kwani siye wabongo mambo mengi hatutekelezi!
  5. OFFORO

    Kikwete siyo safi! - yes I said it!

    Jamani hii document ya mtikila inayoitwa ya uchochezi inapatikana wapi
  6. OFFORO

    I am sorry mabinti wa kichagga

    Kama huna points dont talk or write tafuteni mada nyingine ya kujadili
  7. OFFORO

    Mshindi wa BSS 2009 ni Kelvin; halina ubishi!

    pascal casian huyu jamaa ni multitalented thanks for voting him
  8. OFFORO

    Ipp mpaka leo hatujapokea mishahara

    kama wenzangu walivyoshauri ukiona ipp haikupi kile unachokitaka acha kazi, waache wengine nao waje wafanye hapo maana nafasi hiyo wengine wanaitaka
  9. OFFORO

    Matokeo Biharamulo: Chadema yaongoza Mijini, CCM vijijini!

    kama ndivyo hivyo demokrasia imekua katika nchi yetu sisiemu wanatakiwa kukaza buti hali itakuwa tiofauti uchaguzi mkuu 2010
  10. OFFORO

    Kwenye Vita Dhidi ya Ufisadi........

    Kaka wako kazini hata wao wanajua wako agaist ila katika kutenda haki lazima wafanye hivyo ili kuonyesha kuwa mtu hajaonewa
  11. OFFORO

    The Migingo Saga: Kenya vs Uganda, why?!

    HAWA WAKENYA WABABAISHAJI NASHAURI HII JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI TUNAYOTAKA KUINGIA NAO NI BORA WATU WENGINE SI HAWA JAMAA UTATA SANA KAMA VIP JK KULA DOKSI MWACHIE MUSEVENI PEKE YAKE AKOMAE NAO NAIMANI HATAWAHINDWA ANGALIZO NI KWAMBA HATUTAPOKEA WAKIMBIZI KUTOKANA NA UJINGA WENU...
  12. OFFORO

    Channel Ten (Tz): Ushauri wa BURE

    siku zote kauli za kiswahili zina maana wanasema ukiona mwenzako akinyolewa wewe tia maji nyingine nasikia wanasema usitukane mamba kabla hujavuka mto kazi kwao wanaongea saaaaaaaaaaaana hapa home hakuna ushindani hata kidogo ungekuta channel 10 inaangaliwa tuu pale kwenye jengo...
  13. OFFORO

    Channel Ten (Tz): Ushauri wa BURE

    sasa wamepeleka posa kwa barca kuolewa wakaolewa wao
  14. OFFORO

    Sumaye ndani ya Uingereza!

    watu wengine uchawi tuuu leteni mada zenye maana na si majungu au fitina mtu mzima hovyoooo!
  15. OFFORO

    Waandishi wa Habari Tanzania

    mrekebishe halafu mwambie afanye nini kwani yeye siyo mwandishi hata hivyo mie nakubaliana naye kwa namna fulani sio waandishi woote uchwara ni wachache napenda sana kuwafuatilia maana wengine wanatupa habari za kweli na za uhakika
  16. OFFORO

    TICTS wagoma!

    jamani jamani kama hamna data ni vizuri mkakaa kimya wewe unayesema kuwa kuna mtu ana kampuni yake anataka kuipiku ticts nani kakuambia sidhani kama waziri mkuu alikurupuka na kusema kuwa ticts wameonyesha kuwa kazi wameshindwa
  17. OFFORO

    Michuzi Blog, hii ni sawa?

    Nina imani kabisa michuzi keshaona maoni haya yote yanayotolewa na wadau wa jamiiforums sasa basi ni kazi yake kuamua kurekebisha au kuacha ikae ilivyo na sina uhakika saana kama ataiacha kama ilivyo ila atairekebisha kwa maaana hakuna mmiliki wa website au tv au redio au blog kama kaka...
  18. OFFORO

    Engineers wa St. Joseph College na GPA kubwa kubwa

    mie nitaongea baadaye kwani nataka nifunge mada ila ujue kuna kitu kule sua wanakiita SIMBI na hapa udsm wanakiita DESA sijui st agustine wanakiita vip hata hivyo sina nia hiyo ila nataka kuonyesha tuu huwa tunatoka wapi kubwa na la ajabu kama wadau huwa mnaangalia ZAIN...
  19. OFFORO

    TICTS wagoma!

    Kumbukumbu zangu zinaonyesha kuwa katika hotuba za mheshimiwa jk kuna siku alisema kuwa haoni hatari kama wizara au idara ya serikali kuanza moja akiwa na maana ya kufuta kila kitu na kuanza moja hili la ticts linawezekana kabisa maana hata mzee pinda alisema bungeni kuwa wameprove kuwa...
Back
Top Bottom