Search results

  1. C

    LUKU kuna nini?

    Jana jioni nimenunua umeme kwa tigopesa hela imekatwa lakini sijapata token hadi leo. Nimejaribu kwa airtel money pia imegoma hivyo kupelekea kulala gizani bila kutarajia. Inasikitisha mno. Wahusika tuambieni kuna tatizo gani?
  2. C

    Heri ya Mwaka Mpya 2018

    Ndugu zangu, Namshukuru Mungu Mwenyezi kwa kutuvusha salama mwaka 2017. Nawatakia wanajf wote mwaka mpya mwema wenye upendo, baraka na mafanikio. Majibu ya changamoto za 2017 yatutie nguvu za kuweza kufikia malengo yetu, ya jamii na Taifa kwa Ujumla.
  3. C

  4. C

    NMB Ubungo Plaza Branch ni usumbufu mtupu

    Wana JF salaam. Naomba nieleze usumbufu unawapata wa wateja NMB wanaofika hapo tawini na kukuta hakuna huduma bali ni makufuli. Tawi hili halijafunguliwa ila kuna bango kubwa limebandikwa pale hivyo kuwafanya wateja waamini kuna huduma za kibenki zinatolewa hapo na kuishia katika usumbufu...
  5. C

    Waliosoma Aga Khan Mzizima Secondary School

    Wakuu salaam. Ninapenda sana kujua taarifa za wanafunzi wa Mzizima Secondary School tuliosoma miaka ya 1980's enzi za waalimu kama Mr Juma, Mr Acharya, Mrs D'Souza, Mama Mngodo, Mrs Bagalkote n.k. Baadhi ya wanafunzi ninao wakumbuka ni kama Joseph Mgaya, Julius Tandau, John Mwingira, Joseph...
Back
Top Bottom