Search results

  1. Muacici

    Kikundi cha 'Mungu ndie msaada wetu' kipigwe marufuku haraka

    Mbona Mashahidi wa Yehova ni madakitari na tuko nao hospitali. Hebu chunguza vizuri sio hao. Kwanza Mashahidi wa Yehova hawa amini miujiza inayofanyika leo, kwahiyo sio rahisi wakatae kutibiwa na wanahangaikia tiba salama zisizo na maambukizi yoyote. Wapo kila sehemu na wako tayari kukuelimisha.
  2. Muacici

    Hii ndiyo ndege yenye ubora zaidi na starehe za kutosha kuliko yoyote duniani

    Bombadier "Next generation" is the best and stable flight in the air for local (upcountry) trips. I really congratulate Mh. Dr. JPM for a good start.
  3. Muacici

    Mpango wa wabunge kufisadi nchi kupitia posho na kiinua mgongo huu hapa

    Hivi kuna Mtanzania anaitakia Tanzania Mema?? Watoto wa masikini wana kaa chini hawana madawati wala vyoo, lakini mabilioni ya pesa yataidhinishwa kwa hao wanaojiita watunga sheria au viongozi bila hata wao kuwahurumia watoto hao waathirika. Kesho wako jukwaani wana kemea. Swali ni hili ungekuwa...
  4. Muacici

    Tanzania govt on Homosexuality: We can do without UK aid

    Tanzania ni kama tu wameruhusu ushoga, mbona huyu anajulikana na hata viongozi wengi ansema amehudumia. Pata habari zaidi katika blog ya Dinamarios. Huyu mkaka kwa jina Ibrahim Mohamed a.k.a Aunty Suzy jinsi alivyohojiwa katika kipindi cha radio Clouds FM. Dina Marios(dm): KAMA UMESIKILIZA...
  5. Muacici

    Mh. Zitto Kabwe apelekwa India kwa matibabu zaidi

    Mbona wengi mnakazania malaria malaria, ingekuwa suala la malaria sidhani kama angepelekwa Appolo India, hapa tatizo Daktari wake kasema anamaumivu ya kichwa, kuna mishipa inaleta shida. Labda kitu cha kujiuliza kwa nini hatu imarishi hopital zetu zikafikia kama hiyo ya Appolo, tutapeleka...
  6. Muacici

    Fizikia ya ajali (The Physics of Accidents): Mabasi yetu yanaundwa au kuunganishwa wapi?

    Attached please find a research done in the cause of bus accidents in the five emerging nations (Tanzania is also on board). It is an old report but it's worth to peruse it.
  7. Muacici

    Fizikia ya ajali (The Physics of Accidents): Mabasi yetu yanaundwa au kuunganishwa wapi?

    Kusema ukweli nakuunga mkono 100% Mzee Mwanakijiji, vifo vingi vinatokea kutokana na quality za body za mabasi yetu. Mimi nilishuhudia accident ulaya ya basi aina M.Benzi na ilikuwa mwendo mdundo lakini halikuchakaa kama ninavyoona basi yetu yanavyochakaa kabisa na hata watu wengi walipata...
  8. Muacici

    Aisee kumbe ni sahihi kulipwa kwa dowans

    Unachotakiwa kufahamu RA a.k.a actus ni kwamba hata kama sheria inawapa favor DOWANS, sisi watanzania tunachotaka ni kwamba waliohusika kwenye mikataba hiyo wao ndio walipe lakini sio pesa kutoka kwenye kodi ya wananchi. Inabidi wafilisiwe!!!!
  9. Muacici

    chuo baaaaaaaaaaaasi mpaka mwakani

    Pesa za mikopo kwa ajili ya wanavyuo wanataka walipe Dowans, hivyo no mkopo!!!
  10. Muacici

    Harith Mwapachu afariki

    R.I.P Harith
  11. Muacici

    Kuitwa kwenye usaili UDOM tarehe 15-16/10/2011

    Really this is a fair game. Remember that there are so many applicants and so the positions and also many have the same qualifications.
  12. Muacici

    Tatizo la kuwa na harufu mbaya kinywani (bad breath) - Chanzo, dawa za kuzuia na ushauri

    Tatizo la kunuka mdomo wakati mwingine halitokani na kutopiga mswaki, kama vile mnuka vikwapa haimaanishi haogi. Hili tatizo linahitaji madaktari waliobobea katika taaluma na kichwa. Lingine ni kweli linatokana na kutopiga mswaki hasa kama huoshi ulimi mara nyingi unakuwa na ugaga ambao hutoa...
  13. Muacici

    Mawakala wa CUF wameipigia kura CCM?

    Na inawezekana zile 11,000 za 2010 ndio zimehamia huko sisiem. Kazi ipo kweli kweli!!
  14. Muacici

    Uhusiano kati ya mapenzi na maumbile

    Mwanamke mwenye usafiri yaani mguu mzuri na **** la wastani anavutia (sexy), ila ****** yasiwe makubwa na mipaja mikubwa atkuwa vulnearable wa fungus. Ila sababu nyingine wengi wanao watamani ni wafanya kinyume na maumbile.
  15. Muacici

    kuwasha taa au kuzima taa..... ipi bomba?

    Japo ni mzee wa siku lakini huwa maada kama hizi nazipenda ili kutoa uzoefu wangu. Waokwepa taa zaidi bado wanaoneana aibu, ila all in all taa is the best maana inabidi muangaliane ili kupandishana hamu zaidi. Gizani ni kam unaiba vile.
  16. Muacici

    For only sua students

    Vijana Tanzagiza bado maana nafikiria jinsi ya maandalizi ya probation.
  17. Muacici

    Shahada ya Uzamivu kwenye Uchakachuaji

    Hii si uongo hapa muhusika kapatia
  18. Muacici

    Ghala la silaha Gongo la Mboto lalipuka!

    Hivi vituo vyetu vya TV mbona viko nyuma ya wakati kiasi hiki kwanini wasituonyeshe hiyo breaking news
  19. Muacici

    Why africa is 25 years behind the developed world.....

    Ni kweli ukilinganisha na Tanzania sisi bado tuko nyuma karine moja. Message hii inaonyesha jinsi gani mataifa ya Africa yanaongozwa na watu ambao upeo wa kufikiri umeshuka. Mfano hata hayo marais Zuma na Mugabe mimi naona maendeleo yao ni kwasababu wazungu walichelewa kuondoka lakini si...
Back
Top Bottom