Search results

  1. Isaac Mwampashi

    Makundi yanayopinga UKUTA na kumuunga mkono Magufuli

    Kutokana na hali ambayo inaendelea kuhusu masuala ya ki siasa hapa nchini baadhi ya watu wachache wenye uelewa mdogo kuhusu kuyachambua mambo kwa kina na kujua ni nani ambaye anayapanga haya na ni kwa sababu gani. Lazima ijulikane kuwa katika serikali kutaka kutekeleza majukumu yake ina mipango...
  2. Isaac Mwampashi

    Mwigulu atuma salamu kwa vitendo kwa Lowassa na Vincent Nyerere

    Katika hali iliyosheheni furaha kwa watu wa Musoma, Mwigulu ametuma salamu za ushindi kwa wana UKAWA mkoa wa Mara jimbo Musoma amefunika kwa nyomi ya watu pamoja na UKAWA kutuma mamluki wamedhibitiwa na vijana wa green guard.
  3. Isaac Mwampashi

    Mwigulu kuwa makini tamisemi wanaoshirikiana na makada wa ccm

    Ninazunguka karibu kila halmashauri Tanzania ili kuweza kufanya majukumu ya kijamii kwenye viunga vya nchi yetu na kila mahali kuna matatizo ila kuna baadhî ya matatizo yanaundwa au kukuzwa kwa ajili ya masilahi ya wachache. Mmoja kati ya viongozi wa CCM ninaowaamini na kuwaheshimu ni Mwigulu...
  4. Isaac Mwampashi

    Mwigulu kuwa makini TAMISEMI wanaoshirikiana na makada wa CCM

    Ninazunguka karibu kila halmashauri Tanzania ili kuweza kufanya majukumu ya kijamii kwenye viunga vya nchi yetu na kila mahali kuna matatizo ila kuna baadhî ya matatizo yanaundwa au kukuzwa kwa ajili ya masilahi ya wachache. Mmoja kati ya viongozi wa CCM ninaowaamini na kuwaheshimu ni Mwigulu...
  5. Isaac Mwampashi

    i5 Processor Ram 4GB lakini Disc haifiki 320 GB Inakuwaje?

    Wakuu Laptop yangu ina nafasi ndogo sana hasa ukizingatia specs zake inatakiwa iwe na angalau disk ya 320 Aina ya Laptop ni HP Pavilion g6 series Notebook Processor ni Intel (R) core (TM) i5 - 2430M CPU @ 2.4GHZ 2.4 GHz Ram ni 4 GB Operating system ni 64 Bit Lakini iko slow na nina...
  6. Isaac Mwampashi

    Shonza, Mbeya wana adabu za kutosha

    Mimi siyo mwanachama wa CHADEMA lakini ndicho chama mbadala angalau chenye muelekeo na ninasikia hasira sana na watu ambao wanadhani kuwa wanataka kutenda mambo ya demokrasia kumbe ni wahuni na wametumwa na chama tawala kuharibu harakati za chadema na kurudisha nyuma maendeleo ya wapenda...
Back
Top Bottom