Search results

  1. BLACKTIGER

    Msaada: Nimepoteza simu aina ya Infinix hot 7 naweza ipata kwa IMEI?

    Infinix hot 7. IMEI:35240010754261 Kuna mtu kaiba simu je naweza kuipata wadau msaada please!
  2. BLACKTIGER

    Jipime na huyu dogo!

    Joni) dogo wa darasa la kwanza kafika shule akaanza kulalamika kwa mwalimu wake wa darasa kwamba la kwanza si saizi yake na anataka arushwe hadi darasa la tatu kwa maana anaamini ana akili kumzidi hata dada yake ambaye yuko darasa la tatu. Ticha wa darasa kuona dogo kazidi kupiga kelele na...
Back
Top Bottom