Search results

  1. wilson peter

    Msaada display mtumba ya galaxy s6 plain

    Mwenye display ya galaxy s6 plain au mwenye access ya kuipata anijuze tufanye biashara. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. wilson peter

    Hii ndiyo Ubungo!

    Nipo kwenye foleni maeneo ya Ubungo hapa, nimeshuhudia kijana wa watu tena mkakamavu tu akiwa na kibegi chake akikaribishwa mjini na hawa jamaa wa karata 3 au mda mwingine hutumia vipande vya biskuti kwa mtindo ule ule wa kutaka kujipatia mkwanja faster faster. Alikuwa analia ila wasamaria...
  3. wilson peter

    kazi ya bunge

    habarini ndugu, naomba kujuzwa kazi ya bunge letu ni kutunga sheria au kupitisha sheria?
  4. wilson peter

    visa credit card payment

    wadau kuna malipo flan ya visa ya uingereza inabidi nifanye ila nimeambiw nilipie online by using credit card, anaejua jinsi ya kulipa online kwa kutumia credit card anipe muongoza tafadhali.
  5. wilson peter

    wadau wa muvi

    naombeni msaada wa program nzuri, rahisi kutumia na ya haraka kwenye kudownload muvi
  6. wilson peter

    msaada ndugu

    Estimated value of the deceased estate determines the appropriate court to file an application for grant of probate or letters of administration. Critically discuss basing on the current updates of classifying estates.
  7. wilson peter

    naomba msaada wa jinsi ya kufanya swali hili.

    While some torts are also crimes punishable with imprisonment,the primary aim of tort law is to provide relief for the damages incurred and deter others from committing the same harms,citing with relevant examples examine the veracity or otherwise of the above statement.
Back
Top Bottom